Je wajua: Uruguay, Namibia, mafuta na Gondwana.

Je wajua: Uruguay, Namibia, mafuta na Gondwana.

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
11,918
Reaction score
21,225
Mwaka 2022 Namibia waligundua mafuta. Zaidi ya mapipa bilioni 10.
images - 2026-11-10T225017.821.jpeg


Uruguay wakafurahi sana.
Uruguay_in_South_America.svg.png


Wakasema wakati wa Gondwana sisi na namibia tulikuwa kitu kimoja(Namibia Kalahari na Uruguay Rio de la plata.)
images - 2026-11-10T224839.905.jpeg


Kwa hiyo miamba yetu inafanana. Kama ya Namibia imeweza kuwa na mafuta basi na sisi pia yetu itwkuwa na mafuta. Wakaanza na wanaendelea kutafiti mafuta kwa nguvu. Leo Namibia na Uruguay ziko mbalimbali. Ila historia ya kijiografia bado inaziunganisha.
conj_mar_ur_nam_800.jpg
 
Tanzania kuna mzee aligundua gas ya mavi ya kuku ya kupikia.
Selikali inamwambia hyo ni illegal.

Afrika ukigundua kitu watakujazia kodi na malesen yakutocha mradi tu ukwame.
Badala ya kukuendleza
 
Kugundua jambo Moja kuanza kuchimba na kunufaika nayo jambo jingine maana mafuta na madini ni Mali za makampuni makuuuubwa pale Belgium na USA
 
Back
Top Bottom