JAMII-ASM
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 1,305
- 524
KING TUT.
Kwa sisi tulio wengi tumeaminishwa kupitia mafundisho ya vitabu vya watu weupe, yaani wazungu na waarabu, kuwa ma-Pharaoh wa Misri walikuwa ni watu wenye asili kama ya kwao ,yaani weupe, na kwamba ma-pyramid yalijengwa na jamii iliyokuwa na maendeleo ya hali ya juu sana na haiwezekani hata kidogo watu hao wakawa ni watu weusi, yaani waafrika.
Why Hollywood Thinks the Pharaohs Were White
Freemason na illuminati (taasisi zilizoanzishwa na watu weupe) wanatumia sana alama za pyramid
ishara yakuwa hawa watu waliojenga pyramid hawakuwa watu wa kawaida.
Aibu imewakuta watu weupe na wataalamu wanaojiita egyptologists...walioamini kuwa mtu mweusi -negro .. hana uwezo wa hata kuwa na maarifa yanayo fanana na Egypt ya ma-pyramid..
kifupi wameumbuka...na wameumbuliwa na technolojia yao wao wenyewe...yaani DNA Sequencing.
DNA ya Pharaoh Ramses III imethibitisha farao huyu alikuwa mweusi piiiii,tena asili yake ni hapa Afrika mashariki..
DNA yake imepewa jina... inaitwa E-V38. Kinasaba hiki E-V38 kinapatikana kwenye damu za wanaume wa Afrika...hasa afrika mashariki ,na si kwingineko.
Ukweli nd'o huu
''These results indicate that both Ramesses III and Unknown Man E (possibly his son Pentawer) shared an ancestral component with present day populations of Sub-Saharan Africa.''
http://www.dnatribes.com/dnatribes-digest-2013-02-01.pdf
http://www.dnatribes.com/dnatribes-digest-2012-01-01.pdf
Haplogroup E-V38 - Wikipedia, the free encyclopedia
Ma-Pharaoh ni ndugu zetu, tena wa damu.. wanasema waingereza ''Science doesn't lie''
Maelezo ya Malcom X...akieleza namna wazungu wanavyojaribu kuuficha ukweli.
".... this race of Black men, today our slave and the object of our scorn, is the very race to which we owe our arts,sciences, and even the use of speech!''
- Constantin de Volney.