kapuku007
Member
- Sep 15, 2021
- 5
- 7
Hii dunia ipo strange sana….naona hizi nazo zipo logical sana….ila haifikirishi kujiuliza hizi pande mbili ni suala la nadharia na njia ya kugawa wajinga na watawala wa hii dunia!?Zisome hapa.. Kama unajua kiingereza lakini.
Uchaguzi ni wako ufuate zile 10 za Mungu au hizi 11 za shetani.