Je, wajua kuwa Shetani naye ana amri zake? Ziko 11

AMRI 11 ZA SHETANI KWA KISWAHILI

1. Usitoe maoni au ushauri labda ikiwa umeombwa kutoa.

2. Usiwaambie watu shida zako labda kama unauhakika wanataka kuzisikia.

3. Unapokuwa nyumbani kwa watu
kuwa na heshima, kama vipi usiende au bakia kwako utazame chereko chereko TBC 1

4.Ikiwa mgeni amekuja nyumbani kwako akaanza kukusababishia makasiriko,hakikisha unamfanyia
Umafia tena bila huruma. Mfano kumng'oa meno au kumpiga na kitu kizito kwenye bichwa.

5. 5. Usitongoze mpaka uone dalili za kupewa tunda kimasihara

6. Usichukue mzigo wa mtu hata kama umeuona kwenye kichochoro na mwenye nao hayupo, maana akikuona atakuitia mwizi utapigwa mpaka uumalize mwendo hapa duniani.

7. Ole wake anae udharau Uchawi ikiwa yeye mwenyewe anao na umemsaidia kupata anachotaka tofauti na hapo atapoteza vyote alivyonavyo.

8. Usilalamike juu ya kile ambacho unakiitaji na hauna,pambana utapata manaa maisha ni kama karata.

9. Usidhuru watoto wadogo.

10. Usiue wanyama ambao sio binadamu labda kama wamekushambulia na kukung'ata sehemu za ndoa au iwe kwa ajiri ya maakuli.

11. Ukiwa kwenye kadamnasi ya watu usiwe msumbufu,ikiwa mtu mwingine atakusumbua ww basi mwambie aache shobo, akiendelea mpe kilema cha kudumu cha wapiga kula.

N.B IMETAFSIRIWA NA TWAWEZA. KWA USHIRIKIANO WA Mshana jr
photostudio_1634820354301.jpg
 
Unaweza ukauwa ikafanikiwa lakini kufanikiwa kwako kumeenda sawa na takwa la kimungu, hivyo hivyo na kwa huyo shetani.

Kama ilivyo kwa uhai, hakuna anaeweza kutoa uhai kadhalika na kuutwaa hakuna awezae isipokua kwa Mungu aliye juu ya yote na juu ya vyote na juu ya wote.

Sent using Jamii Forums mobile app

utazunguka na kupiga mbanga kama zote ila utarudi palepale tu!.
 
AMRI 11 ZA SHETANI KWA KISWAHILI

1. Usitoe maoni au ushauri labda ikiwa umeombwa kutoa.

2. Usiwaambie watu shida zako labda kama unauhakika wanataka kuzisikia.

3. Unapokuwa nyumbani kwa watu
kuwa na heshima, kama vipi usiende au bakia kwako utazame chereko chereko TBC 1

4.Ikiwa mgeni amekuja nyumbani kwako akaanza kukusababishia makasiriko,hakikisha unamfanyia
Umafia tena bila huruma. Mfano kumng'oa meno au kumpiga na kitu kizito kwenye bichwa.

5. 5. Usitongoze mpaka uone dalili za kupewa tunda kimasihara

6. Usichukue mzigo wa mtu hata kama umeuona kwenye kichochoro na mwenye nao hayupo, maana akikuona atakuitia mwizi utapigwa mpaka uumalize mwendo hapa duniani.

7. Ole wake anae udharau Uchawi ikiwa yeye mwenyewe anao na umemsaidia kupata anachotaka tofauti na hapo atapoteza vyote alivyonavyo.

8. Usilalamike juu ya kile ambacho unakiitaji na hauna,pambana utapata manaa maisha ni kama karata.

9. Usidhuru watoto wadogo.

10. Usiue wanyama ambao sio binadamu labda kama wamekushambulia na kukung'ata sehemu za ndoa au iwe kwa ajiri ya maakuli.

11. Ukiwa kwenye kadamnasi ya watu usiwe msumbufu,ikiwa mtu mwingine atakusumbua ww basi mwambie aache shobo, akiendelea mpe kilema cha kudumu cha wapiga kula.

N.B IMETAFSIRIWA NA TWAWEZA. KWA USHIRIKIANO WA Mshana jrView attachment 1981950
,
Iyo tanganyika jeki sasa
 
kumbe tusojua kingereza tunakosa uhondo
shetani kazungumzia had masuala ya kula tunda kimasihara
 
Ni tafsiri yako tu ndugu yangu.
viumbe wa kwanza waliomuasi mwenyezi Mungu ni huyo shetani, na maazimio yake ni kufanya wengi wawe waasi kwa Mungu kama yeye.

Yeye ndie wa kwanza kusababisha uasi kwa mtu dhidi ya Mungu, na kanuni za Mungu uasi malipio yake ni kufa, kufa kunaweza kuwa kwa kiroho ama kimwili.

Hakuna yeyote aliye juu ya uhai wa kiumbe chochote isipo kua Mungu.

Kwa namna hiyo ndio maana shetani hana historia ya kusababisha kuua isipo kua kwa idhinisho la kimungu.

Kwa hiyo shetani anabaki na sifa yake ya kua baba wa uongo.
Ulishawahi kujiuliza yeye alidanganywa na nani hadi kujihisi ana nguvu kuliko au zinazofanana na Mungu hadi kutaka kufanya mapinduzi huko mbinguni, vipi yeye sio muhanga nae kwa kudanganywa kwanza kabla ya sisi
 
AMRI 11 ZA SHETANI KWA KISWAHILI

1. Usitoe maoni au ushauri labda ikiwa umeombwa kutoa.

2. Usiwaambie watu shida zako labda kama unauhakika wanataka kuzisikia.

3. Unapokuwa nyumbani kwa watu
kuwa na heshima, kama vipi usiende au bakia kwako utazame chereko chereko TBC 1

4.Ikiwa mgeni amekuja nyumbani kwako akaanza kukusababishia makasiriko,hakikisha unamfanyia
Umafia tena bila huruma. Mfano kumng'oa meno au kumpiga na kitu kizito kwenye bichwa.

5. 5. Usitongoze mpaka uone dalili za kupewa tunda kimasihara

6. Usichukue mzigo wa mtu hata kama umeuona kwenye kichochoro na mwenye nao hayupo, maana akikuona atakuitia mwizi utapigwa mpaka uumalize mwendo hapa duniani.

7. Ole wake anae udharau Uchawi ikiwa yeye mwenyewe anao na umemsaidia kupata anachotaka tofauti na hapo atapoteza vyote alivyonavyo.

8. Usilalamike juu ya kile ambacho unakiitaji na hauna,pambana utapata manaa maisha ni kama karata.

9. Usidhuru watoto wadogo.

10. Usiue wanyama ambao sio binadamu labda kama wamekushambulia na kukung'ata sehemu za ndoa au iwe kwa ajiri ya maakuli.

11. Ukiwa kwenye kadamnasi ya watu usiwe msumbufu,ikiwa mtu mwingine atakusumbua ww basi mwambie aache shobo, akiendelea mpe kilema cha kudumu cha wapiga kula.

N.B IMETAFSIRIWA NA TWAWEZA. KWA USHIRIKIANO WA Mshana jrView attachment 1981950
Hahahaha hahahaha hahahahahahaaaa Tit 4 Tat
 
Shetani amri zake kama vile hataki shobo flan hivi
Jana nlipanda bus na msomali mmoja anaanza kunisimulia maisha yake wakat sijamuuliza mi nikawa msikilizaj tu had safar ikaisha huku yeye hajui hata jina langu lakin mm nimejua had mali zake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom