Je, wajua kuwa Shetani naye ana amri zake? Ziko 11

Shetani amri zake kama vile hataki shobo flan hivi
Jana nlipanda bus na msomali mmoja anaanza kunisimulia maisha yake wakat sijamuuliza mi nikawa msikilizaj tu had safar ikaisha huku yeye hajui hata jina langu lakin mm nimejua had mali zake
Kama dereva WA Uber.
 
Hii dunia ipo strange sana….naona hizi nazo zipo logical sana….ila haifikirishi kujiuliza hizi pande mbili ni suala la nadharia na njia ya kugawa wajinga na watawala wa hii dunia!?
Lisemwalo lipo..kama halipo popote haliwezi kusemwa
 
Kama dereva WA Uber.
Ulishapanda bodaboda dereva anaanza kukusimulia kuwa anajenga wakati hujamuuliza alaf kwanza humsikii vizuri kwasababu ya upepo lakn ye anakomaa tu kukusimulia.
Ndo maana shetan hatak hizo shobo
 
Shindwaa pepo mchafu
Pepo ni fairy tale, ila hata katika angle hizo hizo za hizo habari Inaonekana huelewi mambo mengi

Dini imem-clasfy pepo kua mi kibaraka wa shetani, meanwhile shetani ndio mchafu zaidi kulikp pepo

Lakini pamoja na uchafu wake na ali onana na mungu na wakapiga stori friendly kabisa kuhusiana na ayoub

Nini kinachokufanya ujione we ni smart sana kuliko mungu wako?
 
Wapi nimesema niwakana Mkuu!! onyesha! ..........au uko kwa kilaji?.... unamfahamu Baba wa taifa wewe? nina wasi inawezekana wewe ni Mzaire! diarasii
Kwasababu umesema umeumbwa na mungu, maana yake hujazaliwa na mama yako
 
Inabidi sasa tuwe na kitu kitakachobalansisha amari zote mbili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom