Je, wajua haya kuhusu Ukraine?

Je, wajua haya kuhusu Ukraine?

Uko ukraine unachambisha kwa $600 kwa mwezi ila kelele nyiiiiingi utakuwa wa kaitaba wewe,
 
Ungetumia nguvu nyingi kuitangaza Tanzania kama unavyozitumia kuitangaza ukraine labda ungebadili moja au mawili.
Ukraine ukraine ukraine ukraine zoea basi ulaya ulete topics zingine kha! Ungeenda nchi zenye akili timamu je si Ndo forums zote ungejaza wewe kuhadithia hadi vikombe vyao vya chai na vijiko vikoje? Come on now
Mi nimeshakaa nchi tajiri zaid ya uUkraine, pia had Ieo nipo Italy, so nikileta hoja kama huipendi potezea hujalazimishwa kuchangia hahahaha Magufuli endelea kubana naona watu bado wana chezea bando kunijib
 
Lol, italy nako unanitambia ??? Lmao!!
 
Uko ukraine unachambisha kwa $600 kwa mwezi ila kelele nyiiiiingi utakuwa wa kaitaba wewe,
Kwa taarifa yako UAE inazidi Ukraine kwa mbali sana kwa maendeleo na vitu vingi, nimeish uko muda wa kutosha, nitaendelea kuleta habari za Ukraine mpaka ukimbie hahaha
 
Pole mama

Nikupe pole wewe. Karibu kwenye nchi unazopata zaidi ya $2500 kwa kazi kama hiyo hiyo yako ya $600 kwa mwezi. Naeza kukuoffer mwaliko ujijue urafikia wapi though. Salam zangu kwa magufuli ukimpata. [emoji3]‍♀️[emoji3]
 
Nikupe pole wewe. Karibu kwenye nchi unazopata zaidi ya $2500 kwa kazi kama hiyo hiyo yako ya $600 kwa mwezi. Naeza kukuoffer mwaliko ujijue utafikia wapi though. Salam zangu kwa magufuli ukimpata. [emoji3]‍♀️[emoji3]
Tushajua uko ukraine guve us a break
 
Nikupe pole wewe. Karibu kwenye nchi unazopata zaidi ya $2500 kwa kazi kama hiyo hiyo yako ya $600 kwa mwezi. Naeza kukuoffer mwaliko ujijue urafikia wapi though. Salam zangu kwa magufuli ukimpata. [emoji3]‍♀️[emoji3]
Mi namtoa wapi Magufuli hahaa
 
Kwa taarifa yako UAE inazidi Ukraine kwa mbali sana kwa maendeleo na vitu vingi, nimeish uko muda wa kutosha, nitaendelea kuleta habari za Ukraine mpaka ukimbie hahaha

I know utaleta si bado una ukungu machoni, utazoea tu. [emoji4]
 
Ungetumia nguvu nyingi kuitangaza Tanzania kama unavyozitumia kuitangaza ukraine labda ungebadili moja au mawili.
Ukraine ukraine ukraine ukraine zoea basi ulaya ulete topics zingine kha! Ungeenda nchi zenye akili timamu je si Ndo forums zote ungejaza wewe kuhadithia hadi vikombe vyao vya chai na vijiko vikoje? Come on now
Mbona hapa hajaadithia chai, kaleta uzi kwa muktadha wa kuuliza swali? Watanzania mna hang over, kwahiyo we uko wapi mkuu?
 
Mi nahisi maendelao si kupata uhuru, maendeleo ni fikra juu ya nini ufanye na lini na kwasababu gani,

Hata SOUTH AFRICA wamepata uhuru mwaka 1994 lakin kwa maendeleo hatuwafikii
 
Mbona hapa hajaadithia chai, kaleta uzi kwa muktadha wa kuuliza swali? Watanzania mna hang over, kwahiyo we uko wapi mkuu?

Anaelekea kuhadithia chai na vitumbua vya ukraine, we subiri tu
Niliko hakuna umuhimu sana ila ukraine ni ushagoo
 
Teh teh mi naongea na wewe na si mtoa uzi, tatizo mna mawenge na Ngosha nasikia anawanyoosha, kama hauko Tanzania basi ufikapo finland nipitie

Finland nikafanye nini eti? Ni kama kuongea na mbwa wakati mwenye mbwa anakuangalia[emoji3]
 
kyaibumba kwani na Sisi kupotea ' Kusikojulikana ' kwa ile 1.5 Trillion Tsh siyo Maendeleo? Una uhakika waliozichukua au waliogawana hawajazifanyia hayo Maendeleo?
Kwani wewe ni mtanzania, wewe si mnyarwanda rudi kwenu sasa vipi tena kujipendekeza kwenye trillion zetu
 
Back
Top Bottom