Je, wajua haya kuhusu Ukraine?

Je, wajua haya kuhusu Ukraine?

Kwao uhuru wa bendera ulitanguliwa na uhuru wa fikira. Kwetu sisi ilikuwa kinyume na hata sasa fikra zetu hazijawa huru na ndo maana hatujui tuendako, na hilo linatufanya kutumia njia yoyote, ko' kila ajae anakuja na njia yake.
Ndo maana kinywa kinasema viwanda akili inawaza ndege.
HahahaHahaha kapimwe mkojo
 
Nimependa hii mkuu
 
Uko ukraine unachambisha kwa $600 kwa mwezi ila kelele nyiiiiingi utakuwa wa kaitaba wewe,
Sijaona kwanini uwe na jazba kwenye Uzi unaojenga namna hii, hapa tunajadili kwanini tupo nyuma kimaendeleo, labda yaweza kuwa nia ya kuleta mada ili tujue lakin wote tunaoishi nje ya Tanzania hatuna haja ya kumuonea wivu mtu aliyeko Ukriane, lakin napata mashaka ukisema uko nje alafu unamwonea wivu mleta mada hehe
 
Nikupe pole wewe. Karibu kwenye nchi unazopata zaidi ya $2500 kwa kazi kama hiyo hiyo yako ya $600 kwa mwezi. Naeza kukuoffer mwaliko ujijue urafikia wapi though. Salam zangu kwa magufuli ukimpata. [emoji3]‍♀️[emoji3]

Mbona nyote mmemkimbia makomeo??
 
kyaibumba kwani na Sisi kupotea ' Kusikojulikana ' kwa ile 1.5 Trillion Tsh siyo Maendeleo? Una uhakika waliozichukua au waliogawana hawajazifanyia hayo Maendeleo?
Wameenda kuzificha ulaya mkuu, kwamanaana hiyo maendeleo yameelekezwa huko.
 
Sijaona kwanini uwe na jazba kwenye Uzi unaojenga namna hii, hapa tunajadili kwanini tupo nyuma kimaendeleo, labda yaweza kuwa nia ya kuleta mada ili tujue lakin wote tunaoishi nje ya Tanzania hatuna haja ya kumuonea wivu mtu aliyeko Ukriane, lakin napata mashaka ukisema uko nje alafu unamwonea wivu mleta mada hehe

Quote me nilikosema namwonea wivu...
halafu, mtoa uzi hajakereka, wee unadandia treni kwa mbele ya nini?
 
hizo nchi zngne zilikuwa na ,mendeleo kabla hata ya kuwa huru,ukraine ilikua poa tangu enzi za soviet union,
The traveller Ibn batuta wakati anatembelea crimea enzi hizo 1330 tayari ukraine palikuwa na maendeleo
 
Tanzania ilipopata uhuru iliingia katika harakati za kukomboa Africa. hivyo pesa na rasilimali zake pamoja na jeshi walivitumia kukomboa Africa na hivyo kubaki masikini.
 
Back
Top Bottom