Je, wajua haya kuhusu Ukraine?

Je, wajua haya kuhusu Ukraine?

Watu ukiwaambia wakoloni waepe walikuwa bora kuliko wakoloni weusi CCM, ZANU PF na wengine wanakushangaa.
 
Tatizo la Tanzania ni ujinga.
Kama watu wamewatawala miaka 50 hakuna maji hao hao wanakuja kuwa ahidi kuwa watawaletea maji mnawachagua.

Baada ya miaka 5 wanakuja tena tutawaletea maji

Sisi ni mafala sana
 
Dereva wa lori kasema tunaelekea huko....ila paka sasa lori lipo ruaha mbuyuni....halina matairi wala mafuta sjui litaendaje.....dereva yupo songwe kalewa POMBE
 
His no pumba sijawahi fikiria utaiandika. Ubongo wako unafananisha kupata uhuru na kujitenga? Lea hiyo akili yako inakuambia kuwa kama Wakatarunya wakifanikiwa kujitenga tutakiwa tumewazidi maendeleo? Poor you.
 
Dereva wa lori kasema tunaelekea huko....ila paka sasa lori lipo ruaha mbuyuni....halina matairi wala mafuta sjui litaendaje.....dereva yupo songwe kalewa POMBE
Dereva kachanganyikiwa... ndege anaziona kama viwanda
 
Kwa visingizio tu hatujambo....
sio visingizio mkuu labda kama hufaham historia ya ukraine, hata catalonia ikipata uhuru itakua moja ya nchi zilizoendelea sana bt ukweli ni kwamba imeendelea tangu sasa ikiwa ipo spain
 
Ukraine ni Taifa kubwa kwa eneo uk ilinganisha na mataifa mengine ndani ya Ulaya, Ispokuwa Urusi ambayo Nusu ni Ulaya na Nusu ni Asia,

Ukraine ni nchi miongoni Mwa zenye wasichana warembo zaid ulimwenguni

Wasichana asilimia kubwa ya Ukraine wana tafta wanaume nje ya Ukraine,.Maana wanawake ni wengi kuzidi wanaume, na wanapendelea sana wanaume wanaotokea familia tajiri, au sehem zenye utajiri,
Kama watoka UK na USA au Canada ni moja kwa moja

Lakin wanaotaka mapenzi ya kweli na kuolewa kweli hawajali mtu anakotokea,

Maeneo hatari ambayo hutakiwi kwenda ovyo ovyo bila tahadhari ni Crimea na Donestk ambako kuna mzozo na Russia,

Kipato cha chini cha watu wa Ukraine ni 600 USD kwa mwezi, kwa waioprofessionals

Na kwa professionals ni 1000 USD kwa mwezi

Mji mkuu wa Ukraine Kiev uko katika viwango na standard ya juu katika level moja na Stockholm, Copenhagen, oslo, Bristol uingereza, Bournemouth, Newcastle,

View attachment 781863 View attachment 781864 View attachment 781865 View attachment 781866 View attachment 781867 View attachment 781868

Ila unazidi sana miji kama Tallinn estonia, Helsinki Finland, Milan Italy , Lisbon Portugal,

Kwa rank unashika nafasi ya 19 Kazi ya majiji 130 ya Ulaya,

Nje ya Kiev kuna majiji mengine kama
Odessa , ambalo kwa baadhi na miundombinu ni kama Johannesburg, Cairo, Hedemora Sweden, rostov Urusi, mumbai India na kadharika,

Maeneo mengine ya Ukraine ya vijijini yapo kawaida kama unavyoona Nairobi Westland, au oysterbay dar es salaam yaan huko ndo vijijini,


matumizi ya cash
Hela yao ni hryvnia (UAH) – 2,500 UAH sawa ma US$100, ambayo inatosha kwa matumizi mengi . Supermarket nyingi na manunuzi mengi hutumia credit cards . So Lazima kubeba hela nyingi


Casino za hapa

Ndani ya casino vinauzwa chakula cha kitamaduni kwa bei ndogo sana Puzata Khata ni maarufu kwa Ukraine. Unapata salo (mafuta ya kitimoto) na borscht, pia banush ,syrniki,smetana,berry kysil ,
Wakati huo ukiburudika na watoto wakali

View attachment 781902 View attachment 781903 View attachment 781904 View attachment 781906

Uwapo Ukraine usitumie maji ya tap
haya maji yaan asidi na chlorine hivo ni mazuri kwa matumizi kama kuosha vitu na kufua


Usiwe mlevi wa kupindukia kama wa Ukraine

pombe ya hapa ni Kali mnoo ni kwasababu ya baridi
1. horilka (a solution of water and purified alcohol),
2.spotykach (vodka infused with berries) and
3.medovukha (vodka with fermented honey).
Vinywaji hivi hupatikana ndani ya Urusi

Usafiri wa ndani kwa ndani na kwenda nje ya Ukraine

Mabasi maalum hutumika kutoka mji mmoja kwenda mwingine, kama kutoka Kiev kwenda lyviv, dnipropetrovisk, baglovshchensk, na kwingine

Pia train za umeme zipo ambazo zinaenda mpaka uingereza, Italy na kwingine


View attachment 781881 View attachment 781880 View attachment 781877 View attachment 781876


Mchezo wa football
Kwa wapenzi wa mpira wa miguu nitakuwa mnajua kwamba
Tarehe 26/5 UEFA CHAMPIONS league final inapigwa ndani ya Kiev Olympic stadium NS

Pia kuna club kubwa inayosumbua Sana unatokea Ukraine Donestk, inaitwa Shakta Donestk

Huu ni uwanja ambao Liverpool na Madrid wataumana fainali
View attachment 781929 View attachment 781928 View attachment 781927

Supermarkets na malls ndani ya Ukriane

Manunuzi mengi hufanyika kwenye supermarket na malls
View attachment 781957 View attachment 781956 View attachment 781955
kwani wewe ni mzawa Wa wapi? Au huu Uzi umetoka Kiev kwa miguu mpaka kwa uncle ma_u
 
Tanzania ilipopata uhuru iliingia katika harakati za kukomboa Africa. hivyo pesa na rasilimali zake pamoja na jeshi walivitumia kukomboa Africa na hivyo kubaki masikini.
Ni kweli kabisa sera za kusema kama africa haiko huru Tanzania hatuna uhuru kamili ndio zimetuchelewesha lkn Mungu yupo hatufi njaa mimi naamini uncle magu atatusaidia sana maana yuko serious na anapenda kufanya anachoamini kitatusaidia.
 
Ukimtukana mwanao au mtoto kila siku kuwa ni mjinga hawezi kitu na kila anachojaribu unakiponda na kumdhalilisha
Haya ndio matokeo yake
Waafrika tumeathirika kisaikologia ingawa sio wote.
Imefika mahali hata kufanya jambo tunashindwa.
Vijana waliohitimu wapo lakini huwezi kuona wametengeneza hata daraja fupi sehemu ambayo kina mama wanaliwa na mamba kila kukicha
Tunaweza ila akili haikubali


CCM ni watoto?
 
Nikupe pole wewe. Karibu kwenye nchi unazopata zaidi ya $2500 kwa kazi kama hiyo hiyo yako ya $600 kwa mwezi. Naeza kukuoffer mwaliko ujijue urafikia wapi though. Salam zangu kwa magufuli ukimpata. [emoji3]‍♀️[emoji3]
Teh teh dada wewe ni Mhaya ? Si ajabu upo Houston Texas ,teh bora hata ungekuwa Omaha Nebraska au Pennsylvania.
 
Back
Top Bottom