kyaibumba
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 744
- 1,080
- Thread starter
- #61
Nitayaainisha.lakin kama.Ukraine wanapata system za usafirshaji mpya za kisasa baada ya 1992 wana train za umeme na madege.makubwa, wana viwanda vikubwa n.a. wana mengine mengiHivyo vinchi vina mabadiliko gani kabla ya huo uhuru na sasa? Vilishaneemeshwa na kuwezeshwa na iliyokuwa shirikisho la Urusi, hawajajenga lolote jipya.