Je, wajua haya kuhusu Ukraine?

Je, wajua haya kuhusu Ukraine?

Crimea ni salama salimini...ndiyo maana daraja refu kuliko yote barani ulaya limefunguliwa kuunganisha sehemu hii ya Russia federation.
Sijagika eneo ilo sitaki hata kufika yasinikute ya Dr shika
 
Wahongo hao, hujui uchumi wa Ukraine unazidi Wa Nigeria na south Africa? Sisemi makusanyo nasema uchumi

Ukibase kwenye
Per capita
PPP
Isipo kuwa GDP ndo iko chini ya.nchi hizo

Alafu makusanyo.ya Ukraine GDP ni mara tatu ya Tanzania yaan 196 trillion, wakati east Africa ni 179 almost



Ukraine GDP per capita PPP 398 billion USD
The Gross Domestic Product per capita in Ukraine was last recorded at 7668.06 US dollars in 2016, when adjusted by purchasing power parity (PPP). The GDP per Capita, in Ukraine, when adjusted by Purchasing Power Parity is equivalent to 43 percent of the world's average. GDP per capita PPP in Ukraine averaged 7025.13 USD from 1990 until 2016, reaching an all time high of 10463.96 USD in 1990 and a record low of 4451.55 USD in 1998.
Yaani wametuzidi mara tatu tu alafu social services and infrastructures zipo za hali ya juu hivyo?!
Hakika Tanzania kuna kitu si bure[emoji30] [emoji30]
 
Sijagika eneo ilo sitaki hata kufika yasinikute ya Dr shika
Kama uko Kiev, na maisha ni shwali mtaani...maana yake you are in good terms( si maanishi unashirikiana nao) na ultra nationalists a.k.a neo nazi walioua waukrane kwa kuwachoma moto ndani ya nyumba huko Odessa. Hata utwala wa Kiev umeishatangaza "Fatwah" kwa yeyote atakayeshirikiana na Russia ama Crimea. Kwa usalama wako nakushauri usiende huko kama bado unaishu za kufanya Kiev. Ila ukweli Crimea pamekuwa salama zaidi baada ya kujiunga na Russia Federetion. Hata wale wa-tartar waliokuwa na wasiwasi juu ya mji wao kujiunga na Russia sasa hivi ni raha mstarehe.
 
Je ni kweli wanawachukia Warusi?

Wanasemaje kuhusu eneo lao la crimea kumegwa na urusi?
 
Kuna vitu vinachanganya akili
Vinchi kama
1. Estonia
2. Slovakia
3. Macedonia
4. Geogia
5. Malta
6. Ukraine

Vimepata uhuru wake kamili mwaka 1992 lakin Tanzania haioni ndani,

Hapa ni baadhi ya vimji vya Ukraine
images (56).jpeg
images (55).jpeg
2023753.jpeg
ataman_a092__174448945f.jpg
56f69263b8698ce2662070d4db39d810.jpeg
50101d88-3995-40f7-b6a2-ba2217337a62.jpg
ukraina-chmielnicki-elektrownia-800x445.jpg
Elektrownia-atomowa-Chmielnicki.jpg
cfe9b1c5104f8c58226041fc686fd33c_600x1000.jpg
u6.jpg
1428942479_tna.jpg
01196598_n1.jpg
u2.jpg

videoblocks-kiev-city-the-capital-of-ukraine-kyiv-mother-motherland_bgrzrhthe_thumbnail-small01.jpg
maxresdefault (1).jpg
e4b7a24c9e44580007e7deff311cc738.png
stadium_juznoukrainsk_licey_01.jpg

maxresdefault (3).jpg
maxresdefault (1).jpg

maxresdefault (4).jpg

maxresdefault (5).jpg


Pitia hapa pia
Je, wajua haya kuhusu Ukraine?
 
Kwao uhuru wa bendera ulitanguliwa na uhuru wa fikira. Kwetu sisi ilikuwa kinyume na hata sasa fikra zetu hazijawa huru na ndo maana hatujui tuendako, na hilo linatufanya kutumia njia yoyote, ko' kila ajae anakuja na njia yake.
Ndo maana kinywa kinasema viwanda akili inawaza ndege.
 
Kwao uhuru wa bendera ulitanguliwa na uhuru wa fikira. Kwetu sisi ilikuwa kinyume na hata sasa fikra zetu hazijawa huru na ndo maana hatujui tuendako, na hilo linatufanya kutumia njia yoyote, ko' kila ajae anakuja na njia yake.
Ndo maana kinywa kinasema viwanda akili inawaza ndege.
Hii nimeielewa
 
Back
Top Bottom