Je, wajua haya kuhusu Ukraine?Kinywa kinasema [emoji542] [emoji543] [emoji540] [emoji548] akili inawaza[emoji574] [emoji574] [emoji574]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwao uhuru wa bendera ulitanguliwa na uhuru wa fikira. Kwetu sisi ilikuwa kinyume na hata sasa fikra zetu hazijawa huru na ndo maana hatujui tuendako, na hilo linatufanya kutumia njia yoyote, ko' kila ajae anakuja na njia yake.
Ndo maana kinywa kinasema viwanda akili inawaza ndege.
kinywa kinasema kiwanda akili inawaza ndege "" yaelekea ..jiwe ni miongoni mwao na wale watu waliokuwa wanazishangilia ndege na kuziita ndege ya baba hiyo " kipindi ambacho walipokuw watotoKwao uhuru wa bendera ulitanguliwa na uhuru wa fikira. Kwetu sisi ilikuwa kinyume na hata sasa fikra zetu hazijawa huru na ndo maana hatujui tuendako, na hilo linatufanya kutumia njia yoyote, ko' kila ajae anakuja na njia yake.
Ndo maana kinywa kinasema viwanda akili inawaza ndege.
ha hahaha...aiseeeAtakaepinga mradi wa Stiglers Gorge, ataishia jela.. narudia.. Ataishia jelaa
Sijui sisi tuna matatizo gani.Bora hata mkoloni mweupe alijitahidi sana kwenye maendeleo na huduma kama za afya, maji na elimu zilikuwa bora sana na bure kuliko huyu mkoloni mweusi aliyeshindwa hata kumaliza tatizo LA vyoo vya matundu mashuleni
pigia mstari "" hilo ni jibu mkuu""Inaonekana wanawake wote wa dunia hii wanapenda pesa.