kyaibumba
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 744
- 1,080
Ukraine ni Taifa kubwa kwa eneo uk ilinganisha na mataifa mengine ndani ya Ulaya, Ispokuwa Urusi ambayo Nusu ni Ulaya na Nusu ni Asia,
Ukraine ni nchi miongoni Mwa zenye wasichana warembo zaid ulimwenguni
Wasichana asilimia kubwa ya Ukraine wana tafta wanaume nje ya Ukraine,.Maana wanawake ni wengi kuzidi wanaume, na wanapendelea sana wanaume wanaotokea familia tajiri, au sehem zenye utajiri,
Kama watoka UK na USA au Canada ni moja kwa moja
Lakin wanaotaka mapenzi ya kweli na kuolewa kweli hawajali mtu anakotokea,
Maeneo hatari ambayo hutakiwi kwenda ovyo ovyo bila tahadhari ni Crimea na Donestk ambako kuna mzozo na Russia,
Kipato cha chini cha watu wa Ukraine ni 600 USD kwa mwezi, kwa waioprofessionals
Na kwa professionals ni 1000 USD kwa mwezi
Mji mkuu wa Ukraine Kiev uko katika viwango na standard ya juu katika level moja na Stockholm, Copenhagen, oslo, Bristol uingereza, Bournemouth, Newcastle,
Ila unazidi sana miji kama Tallinn estonia, Helsinki Finland, Milan Italy , Lisbon Portugal,
Kwa rank unashika nafasi ya 19 Kazi ya majiji 130 ya Ulaya,
Nje ya Kiev kuna majiji mengine kama
Odessa , ambalo kwa baadhi na miundombinu ni kama Johannesburg, Cairo, Hedemora Sweden, rostov Urusi, mumbai India na kadharika,
Maeneo mengine ya Ukraine ya vijijini yapo kawaida kama unavyoona Nairobi Westland, au oysterbay dar es salaam yaan huko ndo vijijini,
matumizi ya cash
Hela yao ni hryvnia (UAH) – 2,500 UAH sawa ma US$100, ambayo inatosha kwa matumizi mengi . Supermarket nyingi na manunuzi mengi hutumia credit cards . So Lazima kubeba hela nyingi
Casino za hapa
Ndani ya casino vinauzwa chakula cha kitamaduni kwa bei ndogo sana Puzata Khata ni maarufu kwa Ukraine. Unapata salo (mafuta ya kitimoto) na borscht, pia banush ,syrniki,smetana,berry kysil ,
Wakati huo ukiburudika na watoto wakali
Uwapo Ukraine usitumie maji ya tap
haya maji yaan asidi na chlorine hivo ni mazuri kwa matumizi kama kuosha vitu na kufua
Usiwe mlevi wa kupindukia kama wa Ukraine
pombe ya hapa ni Kali mnoo ni kwasababu ya baridi
1. horilka (a solution of water and purified alcohol),
2.spotykach (vodka infused with berries) and
3.medovukha (vodka with fermented honey).
Vinywaji hivi hupatikana ndani ya Urusi
Usafiri wa ndani kwa ndani na kwenda nje ya Ukraine
Mabasi maalum hutumika kutoka mji mmoja kwenda mwingine, kama kutoka Kiev kwenda lyviv, dnipropetrovisk, baglovshchensk, na kwingine
Pia train za umeme zipo ambazo zinaenda mpaka uingereza, Italy na kwingine
Mchezo wa football
Kwa wapenzi wa mpira wa miguu nitakuwa mnajua kwamba
Tarehe 26/5 UEFA CHAMPIONS league final inapigwa ndani ya Kiev Olympic stadium NS
Pia kuna club kubwa inayosumbua Sana unatokea Ukraine Donestk, inaitwa Shakta Donestk
Huu ni uwanja ambao Liverpool na Madrid wataumana fainali
Supermarkets na malls ndani ya Ukriane
Manunuzi mengi hufanyika kwenye supermarket na malls