Je, wajua haya kuhusu Ukraine?

Je, wajua haya kuhusu Ukraine?

Hawa wa ukraine ni wapumbavu sana. Russia ina mpango wa kuifanya iwe part of russia. Ma spy wa vladmil putin wametapakaa kila sehemu. Chochote kitakachosemwa na ukraine hata iwe kwa siri putin anapata info fasta. Hata yule rais aliyekimbilia russia hivi karibuni alikuwa ni KGB. Watawaliwe tu
 
Hizo ni story tu kaka ,
 
Kuna sehemu mleta mada au mimi tumeandika kuhusu hicho chama

Bwana Sniper....Hilo lilikua jibu langu kwako kutokana na post yako.

Ulidai hata ukiwa na mtoto wako,ukawa unamkaripia kila siku,mfano "huna lolote,hamna kitu unachoweza" basi atafeli kweli...

Analogy yako ilikua ni kwa TZ kila siku tunaisimanga haina lolote tangu uhuru....

Sasa basi,tangu tupate uhuru hakuna la maana watawala wamefanya kubadili nchi,ambao watawala kwa muda wote ni CCM,na tumekua tunawakandia all the way..

Hivyo hoja yako ya kukaripia mtoto sana inaleta yeye kufanya vibaya haina maana kwa maana watawala wetu CCM toka uhuru sio "watoto" bado...wanakaribia 60years now...

Nadhani mantiki yangu kuendana na post yako umenielewa...I think so!Then,thanks!
 
2059953-jpg.781864

Hii kitu ndiyo napanga itengenezwe kwenye Mto Msimbazi kwa kuanzia.
 
Wameiharibu nchi hii JAMAA UKO SALAMA KWELI AU NAWE WAMEPITA NAWE
 
Back
Top Bottom