makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,453
- 108,536
Kwahiyo kabla ya wao ilikuwa inaitwaje, au tulikuwa hatupigi kabisa?
Hiyo ni jadi yangu.Kwa hiyo we unatega watu🤣
Kukwea mnazi kwa kono moja 😎.Kwahiyo kabla ya wao ilikuwa inaitwaje, au tulikuwa hatupigi kabisa?
Kujichukulia SHERIA MKONONI..Kukwea mnazi kwa kono moja 😎.
Kweli kabisa. Tatizo waliopewa idhini ya kufanya hivyo hawana jicho la kuona mbali.Kujichukulia SHERIA MKONONI..
hii misemo 8nafaa kuingia kwenye NAHAU