Kwa nini. Wanaojiondoa chadema 80% ni wachanga ?
ukienda hivyo utakua unafanya reverse racism
watu wameamua kujitoa,how do you control their names yasiwe ya kichagga?
CUF kua na waislam wengi ni udini?
CCM kua na wasukuma wengi ni ukabila?
makabila yapo,dini zipo,rangi zipo huwezi sema unaanzisha chama ng'ombe ndio wawe wanachama,ni wanadamu hawa hawa wenye makabila na dini zao
unatafuta wingi,wapi hakuna wingi wa chochotee?
wewe una chuki na wachagga,una chuki na uislamu
huwezi sema wachagga wakija kujiandikisha chadema uwe quotas eti wakifika asilimia fulani usiandikishe eti kuondoa dhana fulani,utakua unabagua hao wachagga
its crazy unaeijitia unapambana na ukabila unaingia kuweka ukabila wa kuwakataa kabila fulani kwenye chama hicho hicho
tuwaze uwezo za watu,if it happened ni mchagga au si mchagga iwe hivyo,sio unaanza kuhesabu mmoja mmoja ili uanze kuwabagua