SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,081
- 75,446
Mzee wa kusigina Katiba.Kama wao walivyoipora TLP ya yule mzee wa Kihaya

Acha ukabila we bwege, Dr. Khalid Kabour alikuwa mchaga? Bob Makani je, Dr. Slaa? Zitto Kabwe, Kitila Mkumbo? Chadema ilijengwa na watanzania, mwenyekiti kuwa mchaga haina maana ni chama cha wachaga. Hakuna mtanzania asiye na kabila acha upotoshaji usio na tija bwanamdogo.Kwanza kabisa niweke maslahi wazi kwamba mimi nina Asili ya Uchagani hata hivyo andiko hili sio msimamo wala mtazamo rasmi wa Wachaga.
Kwa muda mrefu Chama cha Chadema kimekuwa na ushirika na Jamii za kaskazini hasa Wachaga kiasi kwamba baadhi ya watu wamekuwa wakikihusisha chama hicho na Uchaga au wachaga. Hata hivyo wako wachaga kadhaa maarufu walioko ndani ya vyama vingine vya siasa ingawa vyama vyao havikutanabaishwa na wachaga au uchaga wao.
Harakati za wachaga na siasa za nchi hii ni za muda mrefu na wachaga ni moja katia ya jamii ambazo zina mafanikio makubwa ndani na nje ya siasa za Upinzani nchini Tanzania,
Katika siku za karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la uhamaji wa wanachama wa Chadema huku wengin wakichelea kusema wanakoelekea, Hii inaonesha kwamba Wanasiasa hawa ambao ni mchanganyiko wa wachaga na wasio wachaga huku wengi wakiwa wachaga wameshindwa kuendelea kuwepo ndani ya CHADEMA.
Swali ninalojiuliza ni JE wachaga Wamepokonywa Chadema?Kama Jibu ni Ndio Je wachaga wataunda Ngome nyingine? Je waliobaki ndani ya Chadema wataweza kujipambanua kama chama kisichokuwa na Mrengo wa UCHAGA au CHAMA ambacho kinawakataa/kuwabagua wachaga na badala yake kuwa chama kinachowaunganisha watazania wote?
Karibuni tujadili kuhusu mUstakabali wa siasa za CHADEMA bila Chaga Identity ambayo imekuwa kwenye chama hicho kwa muda mrefu pamoja na kwamba kimeibua vinara wa siasa katika Makabila na kanda nyingine wakiwemo Wanasiasa kama Zitto Kabwe, Kitila Mkumbo na wengine wengi.
Tupeane maoni hapa tukielekea kwenye Uchaguzi mkuu
Haina ukweliMchaga hajawahi kuwa tayari kuwa chini ya mtu baki kwa jambo linalohusu pesa.Hata ikitokea mchaga akashinda nafasi yeyote afu akapewa pesa yupo tayari kuiachia.Hawa jamaa wanaabudu pesa hatari
Hakuna kitu kibaya kwa mtu aliyestaarabika kujivunia ukabila hata tu kutoa ile Id kuonesha kabila lako ni fedheha kubwa.Kwanza kabisa niweke maslahi wazi kwamba mimi nina Asili ya Uchagani hata hivyo andiko hili sio msimamo wala mtazamo rasmi wa Wachaga.
Kwa muda mrefu Chama cha Chadema kimekuwa na ushirika na Jamii za kaskazini hasa Wachaga kiasi kwamba baadhi ya watu wamekuwa wakikihusisha chama hicho na Uchaga au wachaga. Hata hivyo wako wachaga kadhaa maarufu walioko ndani ya vyama vingine vya siasa ingawa vyama vyao havikutanabaishwa na wachaga au uchaga wao.
Harakati za wachaga na siasa za nchi hii ni za muda mrefu na wachaga ni moja katia ya jamii ambazo zina mafanikio makubwa ndani na nje ya siasa za Upinzani nchini Tanzania,
Katika siku za karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la uhamaji wa wanachama wa Chadema huku wengin wakichelea kusema wanakoelekea, Hii inaonesha kwamba Wanasiasa hawa ambao ni mchanganyiko wa wachaga na wasio wachaga huku wengi wakiwa wachaga wameshindwa kuendelea kuwepo ndani ya CHADEMA.
Swali ninalojiuliza ni JE wachaga Wamepokonywa Chadema?Kama Jibu ni Ndio Je wachaga wataunda Ngome nyingine? Je waliobaki ndani ya Chadema wataweza kujipambanua kama chama kisichokuwa na Mrengo wa UCHAGA au CHAMA ambacho kinawakataa/kuwabagua wachaga na badala yake kuwa chama kinachowaunganisha watazania wote?
Karibuni tujadili kuhusu mUstakabali wa siasa za CHADEMA bila Chaga Identity ambayo imekuwa kwenye chama hicho kwa muda mrefu pamoja na kwamba kimeibua vinara wa siasa katika Makabila na kanda nyingine wakiwemo Wanasiasa kama Zitto Kabwe, Kitila Mkumbo na wengine wengi.
Tupeane maoni hapa tukielekea kwenye Uchaguzi mkuu
Zamu yake bado.Mbona Godbless hawaja mfuta?
Hali ni mbaya sana ndani ya Chadema!Wamefutwa na nani ilhali wanajiondoa wenyewe? Jana Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Morogoro (Mchaga) katangaza kujitoa kwenye Chama. Na yeye alifutwa uanachama?
Zamu yake bado.
Na mimi hapa, nilikuwepo, nipo, na nitakuwepoKinachoshangaza ni wingi wa wachaga kuhama chama hicho. Kabaki lema tu na haijulikani kama ata sustain for a long time.
Obviously !Kwanza kabisa niweke maslahi wazi kwamba mimi nina Asili ya Uchagani hata hivyo andiko hili sio msimamo wala mtazamo rasmi wa Wachaga.
Kwa muda mrefu Chama cha Chadema kimekuwa na ushirika na Jamii za kaskazini hasa Wachaga kiasi kwamba baadhi ya watu wamekuwa wakikihusisha chama hicho na Uchaga au wachaga. Hata hivyo wako wachaga kadhaa maarufu walioko ndani ya vyama vingine vya siasa ingawa vyama vyao havikutanabaishwa na wachaga au uchaga wao.
Harakati za wachaga na siasa za nchi hii ni za muda mrefu na wachaga ni moja katia ya jamii ambazo zina mafanikio makubwa ndani na nje ya siasa za Upinzani nchini Tanzania,
Katika siku za karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la uhamaji wa wanachama wa Chadema huku wengin wakichelea kusema wanakoelekea, Hii inaonesha kwamba Wanasiasa hawa ambao ni mchanganyiko wa wachaga na wasio wachaga huku wengi wakiwa wachaga wameshindwa kuendelea kuwepo ndani ya CHADEMA.
Swali ninalojiuliza ni JE wachaga Wamepokonywa Chadema?Kama Jibu ni Ndio Je wachaga wataunda Ngome nyingine? Je waliobaki ndani ya Chadema wataweza kujipambanua kama chama kisichokuwa na Mrengo wa UCHAGA au CHAMA ambacho kinawakataa/kuwabagua wachaga na badala yake kuwa chama kinachowaunganisha watazania wote?
Karibuni tujadili kuhusu mUstakabali wa siasa za CHADEMA bila Chaga Identity ambayo imekuwa kwenye chama hicho kwa muda mrefu pamoja na kwamba kimeibua vinara wa siasa katika Makabila na kanda nyingine wakiwemo Wanasiasa kama Zitto Kabwe, Kitila Mkumbo na wengine wengi.
Tupeane maoni hapa tukielekea kwenye Uchaguzi mkuu
Wameonesha UBINAFSI MKUBWA Sana
Kwa tafsiri rahisi tu ni kwamba hawapendi kuwa chini ya mtu asiyekuwa MCHAGA
Tokea nmeanza kusikia wanaojitoa Chadema nasikia mala Minja, Mrema, Urio, Kiwia na wengineo DJ aliwapa ulaji sana inavyoonekana hayo ndio madhara ya kumtegemea binadam mwenzako na kumuona yy kama Mungu siku akifa utasikia vilio na kuhaha kila kona sio kwa uchungu wa kumpoteza bali unaanza kuwaza nitaishije bila yeye! Kijana jua kujisimamia na kusimamia KWELI usikubali kuwa CHAWA utakuwa mjingamjinga wa fikra na mtumwa wa wenye akili.
Acha ukabila we bwege, Dr. Khalid Kabour alikuwa mchaga? Bob Makani je, Dr. Slaa? Zitto Kabwe, Kitila Mkumbo? Chadema ilijengwa na watanzania, mwenyekiti kuwa mchaga haina maana ni chama cha wachaga. Hakuna mtanzania asiye na kabila acha upotoshaji usio na tija bwanamdogo.
imetusaidia kuwajua wachaga kwa sura ya kutoka Chaga-dema kwenda Chaga-uma Mungu ni mwema. wasingeweza kuwa chini ya Lissu na Heche. Lema ali declare interest mapema sana huko Machame baada ya kulaumiwa na wachaga kuwa amemsaliti Mbowe. Hawa watu ni hatari wameingiza 'political commodity' kwenye siasa.walimvumilia Mbowe kwa miaka 21 ila wanagoma kumvumilia Lissu kwa miezi miwili. Huu ni UBINAFSI mkubwa sana.
Kinachoshangaza ni wingi wa wachaga kuhama chama hicho. Kabaki lema tu na haijulikani kama ata sustain for a long time.
Wamebakia wachaga wazalendo tu kama Lema na mwenyekiti wa BAZECHA TaifaMbona Godbless hawaja mfuta?
Sasa hivi Mbowe ndiye kawa kitendea kazi chao kuibomoa Chadema chama alichoshiriki kukijenga kwa jasho na damu, sikutegemea kuwa Mbowe angefanya upuuzi kama aliofanya LipumbaCCM inaweka jela mtu yeyote wakati wowote wakiona ni tishio. Walifanya hivyo hata kwa Mbowe at one point in time.
ni kama anamkomoa lissuSasa hivi Mbowe ndiye kawa kitendea kazi chao kuibomoa Chadema chama alichoshiriki kukijenga kwa jasho na damu, sikutegemea kuwa Mbowe angefanya upuuzi kama aliofanya Lipumba
Hii dhana ya kipumbqvu ndio ilifanya Chadema isionekane kama ni chama kinachofaa kupewa dola. Dhana hii haikuwa tofauti na ile ya Udini CUF kwa sababu kulikuwa na waislam wengi.Kwanza kabisa niweke maslahi wazi kwamba mimi nina Asili ya Uchagani hata hivyo andiko hili sio msimamo wala mtazamo rasmi wa Wachaga.