permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,440
- 15,230
Una ushahidi?Sasa hivi Mbowe ndiye kawa kitendea kazi chao kuibomoa Chadema chama alichoshiriki kukijenga kwa jasho na damu, sikutegemea kuwa Mbowe angefanya upuuzi kama aliofanya Lipumba
Una ushahidi?Sasa hivi Mbowe ndiye kawa kitendea kazi chao kuibomoa Chadema chama alichoshiriki kukijenga kwa jasho na damu, sikutegemea kuwa Mbowe angefanya upuuzi kama aliofanya Lipumba
Kwa nini wasijitoe makabila mengine wajitoe wachaga ? Kuhusu CUF inajulikana ni cha uislamu. Kuhusu CCM ni cha wote maana hata Mkwere alikuwa rais. Ila chadema chini ya uongozi wa Mbowe kilikuwa chama cha wachanga. Mimi ni mchaga na ninakubali kuwa kilikuwa chama cha wachaga na sasa ndio kimeamka.ukienda hivyo utakua unafanya reverse racism
watu wameamua kujitoa,how do you control their names yasiwe ya kichagga?
CUF kua na waislam wengi ni udini?
CCM kua na wasukuma wengi ni ukabila?
makabila yapo,dini zipo,rangi zipo huwezi sema unaanzisha chama ng'ombe ndio wawe wanachama,ni wanadamu hawa hawa wenye makabila na dini zao
unatafuta wingi,wapi hakuna wingi wa chochotee?
wewe una chuki na wachagga,una chuki na uislamu
huwezi sema wachagga wakija kujiandikisha chadema uwe quotas eti wakifika asilimia fulani usiandikishe eti kuondoa dhana fulani,utakua unabagua hao wachagga
its crazy unaeijitia unapambana na ukabila unaingia kuweka ukabila wa kuwakataa kabila fulani kwenye chama hicho hicho
tuwaze uwezo za watu,if it happened ni mchagga au si mchagga iwe hivyo,sio unaanza kuhesabu mmoja mmoja ili uanze kuwabagua
Lowasa kwa CHADEMA ilikuwa credit, tena naamini walimwomba agombee. Katika uchaguzi wa 2015 ulikuwa wa kihistoria kwa vyama vya upinzani kwani CHADEMA ilipata matokeo bora kabisa ya uchaguzi kuanzia kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi.Sijamuongelea Lema mimi namuongelea Lissu, naomba unipoe sababu za Lowassa kupewa nafasi ya kugombea urais 2015 ? Maana wewe ulikuwa unajua za ndani kuliko mimi.
Lawama za kufa kwa Chadema zote ni za Lissu. Hashauriki. Hakukuwa na sababu ya kufukuza wanachama kibaguzi.Huna hoja.
Leta hiyo list ndefu uliyonayo ya wote waliofukuzwa matawini.
Acha waende zao chama kiwe safi.
Nani anachukia hiyo michongo ya hela?Hakuna jinsi ilibidi lazima wachaga wapunguzwe kasi maana wanapenda michongo ya hela mpaka chadema wakageuza duka la mangi.
Ndio mwaka ambao Chadema ilijiharibia imagine kama Silaa angeachiwa agombee na Lowassa am-support Silaa. Lowassa alimwaga hela kwa Mbowe akapewa nafasi ya kugombea Urais huo ndio ukweli. Na 2015 ndio ikajulikana chama ni cha wachaga na mbowe supporters. Tundu Lissu ndio amekuja na kuamsha watu waliolala na sasa wengi wanaamka.Lowasa kwa CHADEMA ilikuwa credit, tena naamini walimwomba agombee. Katika uchaguzi wa 2015 ulikuwa wa kihistoria kwa vyama vya upinzani kwani CHADEMA ilipata matokeo bora kabisa ya uchaguzi kuanzia kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi.
Ni tuhuma ambazo hazina ushahidi, Slaa hata mara kumi alikuwa haingii kwa Edo.Ndio mwaka ambao Chadema ilijiharibia imagine kama Silaa angeachiwa agombee na Lowassa am-support Silaa. Lowassa alimwaga hela kwa Mbowe akapewa nafasi ya kugombea Urais huo ndio ukweli. Na 2015 ndio ikajulikana chama ni cha wachaga na mbowe supporters. Tundu Lissu ndio amekuja na kuamsha watu waliolala na sasa wengi wanaamka.
Kwa sasa huo umoja upo?Wachagga kwa tabia zao za ubinafsi na kupenda mambo ya kujitenga na ya kivyaovyao bila kuchangamana na jamii zengine wanakosa sifa za uongozi.
Hawa sasa wakipewa serikali si watatuharibia umoja wa kitaifa wa jamii ya watanzania?
Na walivyo na viburi watatuharibia inchi hawa ng'ombe. Waendelee kukaa benchi huko.
Unakuwaje mchaga mwenyekiti kwenye mkoa wa makabila mengine.....kwani wapogolo morogoro hawapo??Wamefutwa na nani ilhali wanajiondoa wenyewe? Jana Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Morogoro (Mchaga) katangaza kujitoa kwenye Chama. Na yeye alifutwa uanachama?
Mbowe Ana makampuni Dubai, USA na Uk ashindwe kujenga kiwanja chá Moshi?Hivi unajua elimu ya mbowe ? Kama mtu alizaliwa kwenye pesa na ana elimu ya sekondari huyo wa kumpa uongozi. Mtu toka arithi mali za baba yake hakuna aliyoendeleza mpaka leo. Kuna kiwanja moshi mjini cha mzee aikaeli mpaka leo hajajenga halafu unataka tumpe uongozi ? Mnasema Mbowe hana njaa hivi unajua Lowassa alimpa 11 billion mwaka 2015 ili agombee urais ? Mimi ni mchaga Chadema kilikuwa kimepoteza mwelekeo na kimelala na sasa kimaeamka. Naomba viongozi wote wateuliwe kutokana na vigezo na masharti. Masuala ya kuwapa uogozi watu hawana elimu wala experience ya kazi hakuna. Hata ukifuatilia hao waliong'atuka shule hamna. Ni aibu sana tena sana na mimi kama mtanzania na mchaga nasimama na Lissu. Maana Lissu ndio anaonyesha umuhimu wa kuwa na kiongozi mwenye shule.
Povu sana,Wana viburi sábabu wapo vizuri kiuchumi na kielimu, unaweza Kuwa na kiburi Huku ni lofa kama Wewe?Wachagga kwa tabia zao za ubinafsi na kupenda mambo ya kujitenga na ya kivyaovyao bila kuchangamana na jamii zengine wanakosa sifa za uongozi.
Hawa sasa wakipewa serikali si watatuharibia umoja wa kitaifa wa jamii ya watanzania?
Na walivyo na viburi watatuharibia inchi hawa ng'ombe. Waendelee kukaa benchi huko.
Kwani alijichagua? Si walimchagua Wewe inakuwasha ninUnakuwaje mchaga mwenyekiti kwenye mkoa wa makabila mengine.....kwani wapogolo morogoro hawapo??
Kiherehere tu.....unachaguliwa vipi kuwa baba wa familia ya mtu mwingineKwani alijichagua? Si walimchagua Wewe inakuwasha nin
🤣🤣😆😆🤣 inaruhusiwa. Tanzania haina ukabila Mkuu.Unakuwaje mchaga mwenyekiti kwenye mkoa wa makabila mengine.....kwani wapogolo morogoro hawapo??
Wachaga maslahi wamesambaratishwa wamebaki wachaga wanaojitambua!Kwanza kabisa niweke maslahi wazi kwamba mimi nina Asili ya Uchagani hata hivyo andiko hili sio msimamo wala mtazamo rasmi wa Wachaga.
Kwa muda mrefu Chama cha Chadema kimekuwa na ushirika na Jamii za kaskazini hasa Wachaga kiasi kwamba baadhi ya watu wamekuwa wakikihusisha chama hicho na Uchaga au wachaga. Hata hivyo wako wachaga kadhaa maarufu walioko ndani ya vyama vingine vya siasa ingawa vyama vyao havikutanabaishwa na wachaga au uchaga wao.
Harakati za wachaga na siasa za nchi hii ni za muda mrefu na wachaga ni moja katia ya jamii ambazo zina mafanikio makubwa ndani na nje ya siasa za Upinzani nchini Tanzania,
Katika siku za karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la uhamaji wa wanachama wa Chadema huku wengin wakichelea kusema wanakoelekea, Hii inaonesha kwamba Wanasiasa hawa ambao ni mchanganyiko wa wachaga na wasio wachaga huku wengi wakiwa wachaga wameshindwa kuendelea kuwepo ndani ya CHADEMA.
Swali ninalojiuliza ni JE wachaga Wamepokonywa Chadema?Kama Jibu ni Ndio Je wachaga wataunda Ngome nyingine? Je waliobaki ndani ya Chadema wataweza kujipambanua kama chama kisichokuwa na Mrengo wa UCHAGA au CHAMA ambacho kinawakataa/kuwabagua wachaga na badala yake kuwa chama kinachowaunganisha watazania wote?
Karibuni tujadili kuhusu mUstakabali wa siasa za CHADEMA bila Chaga Identity ambayo imekuwa kwenye chama hicho kwa muda mrefu pamoja na kwamba kimeibua vinara wa siasa katika Makabila na kanda nyingine wakiwemo Wanasiasa kama Zitto Kabwe, Kitila Mkumbo na wengine wengi.
Tupeane maoni hapa tukielekea kwenye Uchaguzi mkuu
Hotel ya Aish ilikuwa hivyo hivyo alivyoiacha Mzee Aikaeli hajaongeza chochoteMbowe Ana makampuni Dubai, USA na Uk ashindwe kujenga kiwanja chá Moshi?
Unajua hotel ya Aish protea?
😅 😅 😅 😅 😅 😅Ni tuhuma ambazo hazina ushahidi, Slaa hata mara kumi alikuwa haingii kwa Edo.