Jackpiano
JF-Expert Member
- Apr 19, 2025
- 557
- 751
Inasikitisha sana asee mtu anaongelea ukabila hadharani hivi paka unaandika thread imemuuma sana kuona wachaga wakipoteana ww chadema inakuingizia shngp kwa mwezi kama sio uchawa wa kikabila tu yani kama tukileta ukabila nchi aitakua na aman kama uko kenya na zakayo wao na elchapo