Je, Wachaga wamenyanga'nywa CHADEMA yao?

Je, Wachaga wamenyanga'nywa CHADEMA yao?

Wameonesha UBINAFSI MKUBWA Sana
Kwa tafsiri rahisi tu ni kwamba hawapendi kuwa chini ya mtu asiyekuwa MCHAGA
Haaah haaah wale jamaa bhana wakipanga lao wanalisimamia kwa nguvu.Ndio maana wakati ule Nyerere aliwapiga changa la macho akawapa Mrema kumbe pandikizi la kupunguza wachaga nguvu.Viongozi wengi sana waliokuwa chini ya Nyerere walioa huko ili kuongeza ufahamu kwenye makabila yao.
 
Kinachoshangaza ni wingi wa wachaga kuhama chama hicho. Kabaki lema tu na haijulikani kama ata sustain for a long time.
Mkuu Chadema imepitia transformation nyingi.Wachaga wengi waliunga mkono NCCR Enzi za Mrema Lyatonga.Lakini kilipoyumba wakahamia Chadema.
Na hawakuhamia huko hivi hivi tu walikiunga chama hicho kwa Hali na Mali.
If they decide to do something they will do it perfectly and that's why their successful in many fields especially commercial sector.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Ka
Hivi unajua elimu ya mbowe ? Kama mtu alizaliwa kwenye pesa na ana elimu ya sekondari huyo wa kumpa uongozi. Mtu toka arithi mali za baba yake hakuna aliyoendeleza mpaka leo. Kuna kiwanja moshi mjini cha mzee aikaeli mpaka leo hajajenga halafu unataka tumpe uongozi ? Mnasema Mbowe hana njaa hivi unajua Lowassa alimpa 11 billion mwaka 2015 ili agombee urais ? Mimi ni mchaga Chadema kilikuwa kimepoteza mwelekeo na kimelala na sasa kimaeamka. Naomba viongozi wote wateuliwe kutokana na vigezo na masharti. Masuala ya kuwapa uogozi watu hawana elimu wala experience ya kazi hakuna. Hata ukifuatilia hao waliong'atuka shule hamna. Ni aibu sana tena sana na mimi kama mtanzania na mchaga nasimama na Lissu. Maana Lissu ndio anaonyesha umuhimu wa kuwa na kiongozi mwenye shule.
Hapa huenda kuna kaugomvi binafsi ila pia inaruhusiwa maana ni binadamu,kwa watu wanaofahamu miradi yake na biashara zake wanaweza kuongea vingine.Unajua kodi ya nyumba za Moshi ni vyema kutafakari kabla ya kujenga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom