Je, Wachaga wamenyanga'nywa CHADEMA yao?

Je, Wachaga wamenyanga'nywa CHADEMA yao?

Huyu jamaa kumbe siyo Mchaga??
maxresdefault.jpg
 
Lissu hatambui mchango mkubwa wa watu waliojenga chama. Hilo ni tatizo.
Hivi unajua elimu ya mbowe ? Kama mtu alizaliwa kwenye pesa na ana elimu ya sekondari huyo wa kumpa uongozi. Mtu toka arithi mali za baba yake hakuna aliyoendeleza mpaka leo. Kuna kiwanja moshi mjini cha mzee aikaeli mpaka leo hajajenga halafu unataka tumpe uongozi ? Mnasema Mbowe hana njaa hivi unajua Lowassa alimpa 11 billion mwaka 2015 ili agombee urais ? Mimi ni mchaga Chadema kilikuwa kimepoteza mwelekeo na kimelala na sasa kimaeamka. Naomba viongozi wote wateuliwe kutokana na vigezo na masharti. Masuala ya kuwapa uogozi watu hawana elimu wala experience ya kazi hakuna. Hata ukifuatilia hao waliong'atuka shule hamna. Ni aibu sana tena sana na mimi kama mtanzania na mchaga nasimama na Lissu. Maana Lissu ndio anaonyesha umuhimu wa kuwa na kiongozi mwenye shule.
 
Wanachama wote wana haki ya kusikilizwa bila kujali kabila lao. Kitendo cha wachaga kufutwa uanachama kwenye matawi hakikuwa sahihi. Uongozi wa chama ngazi za juu ulipaswa kuingilia kati kabla hali haijawa mbaya.
Wamefutwa na nani ilhali wanajiondoa wenyewe? Jana Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Morogoro (Mchaga) katangaza kujitoa kwenye Chama. Na yeye alifutwa uanachama?
 
Kwanza kabisa niweke maslahi wazi kwamba mimi nina Asili ya Uchagani hata hivyo andiko hili sio msimamo wala mtazamo rasmi wa Wachaga.

Kwa muda mrefu Chama cha Chadema kimekuwa na ushirika na Jamii za kaskazini hasa Wachaga kiasi kwamba baadhi ya watu wamekuwa wakikihusisha chama hicho na Uchaga au wachaga.Hata hivyo wako wachaga kadhaa maarufu walioko ndani ya vyama vingine vya siasa ingawa vyama vyao havikutanabaishwa na wachaga au uchaga wao.

Harakati zz wachaga na siasa za nchi hii ni za muda mrefu na wachaga ni moja katia ya jamii ambazo zina mafanikio makubwa ndani na nje ya siasa za Upinzani nchini Tanzania,

Katika siku za karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la uhamaji wa wanachama wa Chadema huku wengin wakichelea kusema wanakoelekea,Hii inaonesha kwamba Wanasiasa hawa ambao ni mchanganyiko wa wachaga na wasio wachaga huku wengi wakiwa wachaga wameshindwa kuendelea kuwepo ndani ya CHADEMA.

Swali ninalojiuliza ni JE wachaga Wamepokonywa Chadema?Kama Jibu ni Ndio Je wachaga wataunda Ngome nyingine?Je waliobaki ndani ya Chadema wataweza kujipambanua kama chama kisichokuwa na Mrengo wa UCHAGA au CHAMA ambacho kinawakataa/kuwabagua wachaga na badala yake kuwa chama kinachowaunganisha watazania wote?

Karibuni tujadili kuhusu mUstakabali wa siasa za CHADEMA bila Chaga Identity ambayo imekuwa kwenye chama hicho kwa muda mrefu pamoja na kwamba kimeibua vinara wa siasa katika Makabila na kanda nyingine wakiwemo Wanasiasa kama Zitto Kabwe,Kitila Mkumbo na wengine wengi.

Tupeane maoni hapa tukielekea kwenye Uchaguzi mkuu
Chama kimerudi mikononi mwawananchi
 
Kilimanjaro/arusha ilikuwa ngome ya chadema huwaambii kitu, ni chadema tu. Hata hivyo chadema ilishaenea kanda zingine kabla ya uchaguzi ule ulioghoshiwa. Kwa sasa chadema imezaliwa upya ina viongozi wakuu wapya, wana maono tofauti na waliopita. Mwenyekiti aliyepita ni mchaga, alishindwa kwenye uchaguzi. Waliokuwa wanamuunga mkono ndio hawa wanaoondoka na kuhama chama hicho chenye uongozi mpya. Wengi wao ni wachaga wanaohama. Huenda wakajiunga na mtu wao huko waendapo kwenye chama watakachojiunga nacho
 
Siasa ni maisha. Wanawake wa chadema wanaamini kuwa hata chama kikikosa kiti cha ubunge kimoja,uhakika wa viti maalum upo. Chadema walivyosusa kusaini wameona watoke nduki ili kujihakikishia maisha sehemu nyingine . Wanaume wanaohama Wana hesabu zao wanazozijua wao
Na ile move ya kutosaini ilikuwa ya kimkakati sana wangesumbua na wangeshiriki kinyemela na CCM kwa umafia wao wangerudia ule mchezo waliotumia kuwaingiza Covid 19 mjengoni .
 
Kilimanjaro/arusha ilikuwa ngome ya chadema huwaambii kitu, ni chadema tu. Hata hivyo chadema ilishaenea kanda zingine kabla ya uchaguzi ule ulioghoshiwa. Kwa sasa chadema imezaliwa upya ina viongozi wakuu wapya, wana maono tofauti na waliopita. Mwenyekiti aliyepita ni mchaga, alishindwa kwenye uchaguzi. Waliokuwa wanamuunga mkono ndio hawa wanaoondoka na kuhama chama hicho chenye uongozi mpya. Wengi wao ni wachaga wanaohama. Huenda wakajiunga na mtu wao huko waendapo kwenye chama watakachojiunga nacho
Sasa hivi Chadema ina nguvu sana huku Kanda ya Ziwa na Kanda ya Nyasa hadi CCM inatumia mabomu ya polisi
 
Wanachama wote wana haki ya kusikilizwa bila kujali kabila lao. Kitendo cha wachaga kufutwa uanachama kwenye matawi hakikuwa sahihi. Uongozi wa chama ngazi za juu ulipaswa kuingilia kati kabla hali haijawa mbaya.

Mbona Godbless hawaja mfuta?
 
Kwanza kabisa niweke maslahi wazi kwamba mimi nina Asili ya Uchagani hata hivyo andiko hili sio msimamo wala mtazamo rasmi wa Wachaga.

Kwa muda mrefu Chama cha Chadema kimekuwa na ushirika na Jamii za kaskazini hasa Wachaga kiasi kwamba baadhi ya watu wamekuwa wakikihusisha chama hicho na Uchaga au wachaga. Hata hivyo wako wachaga kadhaa maarufu walioko ndani ya vyama vingine vya siasa ingawa vyama vyao havikutanabaishwa na wachaga au uchaga wao.

Harakati za wachaga na siasa za nchi hii ni za muda mrefu na wachaga ni moja katia ya jamii ambazo zina mafanikio makubwa ndani na nje ya siasa za Upinzani nchini Tanzania,

Katika siku za karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la uhamaji wa wanachama wa Chadema huku wengin wakichelea kusema wanakoelekea, Hii inaonesha kwamba Wanasiasa hawa ambao ni mchanganyiko wa wachaga na wasio wachaga huku wengi wakiwa wachaga wameshindwa kuendelea kuwepo ndani ya CHADEMA.

Swali ninalojiuliza ni JE wachaga Wamepokonywa Chadema?Kama Jibu ni Ndio Je wachaga wataunda Ngome nyingine? Je waliobaki ndani ya Chadema wataweza kujipambanua kama chama kisichokuwa na Mrengo wa UCHAGA au CHAMA ambacho kinawakataa/kuwabagua wachaga na badala yake kuwa chama kinachowaunganisha watazania wote?

Karibuni tujadili kuhusu mUstakabali wa siasa za CHADEMA bila Chaga Identity ambayo imekuwa kwenye chama hicho kwa muda mrefu pamoja na kwamba kimeibua vinara wa siasa katika Makabila na kanda nyingine wakiwemo Wanasiasa kama Zitto Kabwe, Kitila Mkumbo na wengine wengi.

Tupeane maoni hapa tukielekea kwenye Uchaguzi mkuu
Wachaga ni watu wabinafsi sana case study chadema
 
Ndio maana wanakimbia wote 😁😁👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DJtpQWqtame/?igsh=bTBkYThlN3Jmam5q
 
Ukisikiliza lisu unagundua mbowe anapaswa kupigwa mawe na kufa.
1. Lissu aliweka wazi kuwa;
- Alimwomba Mbowe agombee urais yete uenyekiti lkn Mbowe hskutaka
2. Mbowe alisema hatagombea urais na uenyekiti lkn hakuta Lissu agombee pia.
3. Mbowe alipanga kunfukuza Lissu chadema baada ya uchaguzi
4. Mbowe alihozi hazina ya Chadema.
5. Mbowe alipanga safu za wenyeviti mikoa na Jimbo ndio hao wanaondoka bila shaka anewatanguliza na yeye anafuata.
6. Mbowe akiondoka tutajua mambo mazito sana masikio hayataamini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom