Je ushawahi kulala lock up? Ilikuwaje mpaka ukalala?

Je ushawahi kulala lock up? Ilikuwaje mpaka ukalala?

Habari,
Je ulishawahi kulala lock up au selo? Ulikuaje mpaka ukalala?

Karibuni wajumbe ili tuelimike
Nililala central police mwaka 2014, jamaa tulikuwa na ubishi akanitukana,aisee nilimtia roba hadi alipoteza fahamu, nililala kule shimoni lockup mwezi mmojai,nikakukatana na kina Profesa Lipumba na majambazi fulani waliua police Tanga walikamatwa wakaletwa pale,aisee walipigikaaa hadi wakawa wanatambaa, Lipumba na wafuasi wake walifanya kule lockup ya shimoni kulifulika mahabusu hadi kero, uzuri wake kule hakuna joto upepo tu wa bahari. Jamani tufanye yote usiombe uwe na kesi ...t
 
Out of topic

Kwa wenyeji wa Tanga, miaka hiyo palikuwa na sehemu panaitwa Bukoba or Kagera sikumbuki vizuri

Ila walikuwa wanajiuza wadada hapo 😂

Tumekula banana zetu tunakalewa tukashaurina tusirudi hostel 😂. Twende tuka punguze maji

Bwana kufika pale, nikachukua mtoto mbichiiii ... Kumbe Lili chimbo limefungwa Kuna Askari jamii wale wadada kama ulimbo tu wakukamatia watu 😂

Wenzangu wakakimbia nikadakwa Mimi 😂

Mzee unaijua Tanganyika jekii? Nilipigwa hiyo halafu wakawa wananipeleka mafleti kituo Cha polisi 😂

Sikuwa wasiwasi, nilijua sitalala lock up ila kilichokuwa kinanitia mawazo ni kwamba

Uncle wangu alikuwa mkuu wa kituo Cha polisi chumbageni 😂

Nawaza Sasa 😂, nasema Mimi mtoto wa fulani afu apigiwe simu, ambiwe nimekamtwa kwa kesi hiyo
Wakati ni mwanafunziiui 😂

Acha bwana 😂 Mungu yupo nyieee
 
Habari,
Je ulishawahi kulala lock up au selo? Ulikuaje mpaka ukalala?

Karibuni wajumbe ili tuelimike
Nilijichanganya tu tukapelekwa kituoni watatu.

Kufika huko tukaanza kujitambulisha, ukitaja jina unamalizia na neno afande.

Wenzangu wakaulizwa kwanza wakataja majina, ilipofika zamu yangu nikamwambia naitwa MBOYA AFANDE, eti akanipiga
 
Back
Top Bottom