Ukiwa kama mzazi utamfanyaje binti yako huyu??
Kakosea kutuma message akakutumia wewe mzazi na ipo kama ifuatavyo;
''mpenzi siwezi kuitoa hii mimba kwani nitaharibu kizazi changu kumbuka mpaka sasa nimeshatoa mimba zako sita(6), hapa nawaandalia wazazi chakula then nitawawekea sumu ili wafe halafu tumiliki mali zote ambazo zitatusaidia mbeleni." jeee ungefanyajeeeeeeeeeeeeee??