H Hejafar Member Jun 15, 2021 8 4 Jun 15, 2021 #1 Naomba kuuliza eti ukihitimu Diploma ya Ualimu wa shule za msingi unaweza kuendelea na degree ya shule ya msingi au secondary, Bila kupita Form Six?
Naomba kuuliza eti ukihitimu Diploma ya Ualimu wa shule za msingi unaweza kuendelea na degree ya shule ya msingi au secondary, Bila kupita Form Six?
Niite Profesa Senior Member Jun 19, 2015 100 106 Jun 16, 2021 #2 Inawezekana bila shida yeyote kikubwa ni utimize tu vigezo wanavyohitaji
H Hejafar Member Jun 15, 2021 8 4 Jun 19, 2021 Thread starter #3 Vigezo Niite Profesa said: Inawezekana bila shida yeyote kikubwa ni utimize tu vigezo wanavyohitaji Click to expand... Vigezo vipi vvinavyotakiw, Kwa degree ya secondary? Na kwa degree ya shule ya msingi wanataka vigezo gani?
Vigezo Niite Profesa said: Inawezekana bila shida yeyote kikubwa ni utimize tu vigezo wanavyohitaji Click to expand... Vigezo vipi vvinavyotakiw, Kwa degree ya secondary? Na kwa degree ya shule ya msingi wanataka vigezo gani?
H Hejafar Member Jun 15, 2021 8 4 Jun 19, 2021 Thread starter #4 Niite Profesa said: Inawezekana bila shida yeyote kikubwa ni utimize tu vigezo wanavyohit Click to expand...
Niite Profesa said: Inawezekana bila shida yeyote kikubwa ni utimize tu vigezo wanavyohit Click to expand...
Niite Profesa Senior Member Jun 19, 2015 100 106 Jun 19, 2021 #6 Icheki Guide book ya TCU utapata kila kitu mule Ila kwa kifupi ni lazima uwe na Ufaulu wa kuanzia GPA ya 3.0 ila kuna baadhi ya vyuo wanahitaji kuanzia GPA ya 3.5 mfano UDSM
Icheki Guide book ya TCU utapata kila kitu mule Ila kwa kifupi ni lazima uwe na Ufaulu wa kuanzia GPA ya 3.0 ila kuna baadhi ya vyuo wanahitaji kuanzia GPA ya 3.5 mfano UDSM
Niite Profesa Senior Member Jun 19, 2015 100 106 Jun 19, 2021 #7 Pitia hii Guide book ya TCU itakusaidia Attachments Final_Third Draft Admission Guidebook Equivalent Applicants 19052021.pdf 2 MB · Views: 32