Je, unaweza kuendelea na masomo ya Degree baada ya kuhitimu Diploma ya shule za msingi?

Hejafar

Member
Jun 15, 2021
8
4
Naomba kuuliza eti ukihitimu Diploma ya Ualimu wa shule za msingi unaweza kuendelea na degree ya shule ya msingi au secondary, Bila kupita Form Six?
 
Icheki Guide book ya TCU utapata kila kitu mule

Ila kwa kifupi ni lazima uwe na Ufaulu wa kuanzia GPA ya 3.0 ila kuna baadhi ya vyuo wanahitaji kuanzia GPA ya 3.5 mfano UDSM
 
Pitia hii Guide book ya TCU itakusaidia
 

Attachments

  • Final_Third Draft Admission Guidebook Equivalent Applicants 19052021.pdf
    2 MB · Views: 31
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom