Je, unatamani kitu kingine kipi kijengwe Chato?

--Tayari barabara ya lami imeshajengwa chattle

--Tayari Uwanja wa Ndege tena wa kimataifa unajengwa chattle,

-- Tayari taa za kuongezea magari barabarani zimeshawekwa chato,

--Tayari Tawi la Bank limeshajengwa chattle,

--Tayari Hospitary kubwa inajengwa chattle,

--Tayari milioni 700 imeshatolewa ya kuboresha shule iwe ya kiwango kwa kuwa tu kwenye nafasi ya top 20 huko Chattle,

Kuna vingine vingi vinafanyika huko Chattle,

Licha ya hivyo vichache nilivyoviolozesha hapo unatamani vitu vingine vipi vijengwe au kupelekwa Chattle?

Cc Zero IQ.
tuchimbe bwawa kubwa sana tuliite CHATO OCEAN, ili tuwe na Beach pale Chato
 
Nyumba za ibada nzuri nzuri na za kisasa hasa Misikiti na Makanisa
Madrasa zijengwe na watoto wafundishwe dini
Sunday schools pia zijengwe na zifundishe watoto dini
 
Umas
--Tayari barabara ya lami imeshajengwa chattle

--Tayari Uwanja wa Ndege tena wa kimataifa unajengwa chattle,

-- Tayari taa za kuongezea magari barabarani zimeshawekwa chato,

--Tayari Tawi la Bank limeshajengwa chattle,

--Tayari Hospitary kubwa inajengwa chattle,

--Tayari milioni 700 imeshatolewa ya kuboresha shule iwe ya kiwango kwa kuwa tu kwenye nafasi ya top 20 huko Chattle,

Kuna vingine vingi vinafanyika huko Chattle,

Licha ya hivyo vichache nilivyoviolozesha hapo unatamani vitu vingine vipi vijengwe au kupelekwa Chattle?

Cc Zero IQ.
Umesahau bandari ambayo ipo kwenye hatua za mwisho kukamilika.
 
Bado sana.."Château" inahitaji mambo kadhaa...
  • Haina uwanja wa mpira wa miguu wa kueleweka
  • Hakuna "sports Center"
  • Hakuna Chuo cha aina yoyote..
  • Hakuna soko kubwa kama la Kariakoo..
  • Hakuna "Coach Stand" ya maana..
  • Hakuna Mall..
  • Hakuna Fly-over..
  • Je treni yafika huko?
  • Maktaba ya jamii..
  • ....
Asante sana mawaziri husika watafanyia kazi kabla 2020, miradi husika iwe imeanza ama ikamilike mapema 2020s
 
--Tayari barabara ya lami imeshajengwa chattle

--Tayari Uwanja wa Ndege tena wa kimataifa unajengwa chattle,

-- Tayari taa za kuongezea magari barabarani zimeshawekwa chato,

--Tayari Tawi la Bank limeshajengwa chattle,

--Tayari Hospitary kubwa inajengwa chattle,

--Tayari milioni 700 imeshatolewa ya kuboresha shule iwe ya kiwango kwa kuwa tu kwenye nafasi ya top 20 huko Chattle,

Kuna vingine vingi vinafanyika huko Chattle,

Licha ya hivyo vichache nilivyoviolozesha hapo unatamani vitu vingine vipi vijengwe au kupelekwa Chattle?

Cc Zero IQ.

Ijengwe

Ijengwe shule ya Kiingereza.
 
Mlimani city malls,coco beach,SGR ifike,Vyuo vikuu,flyover,Bandari Kavu,zao La korosho,
 
--Tayari barabara ya lami imeshajengwa chattle

--Tayari Uwanja wa Ndege tena wa kimataifa unajengwa chattle,

-- Tayari taa za kuongezea magari barabarani zimeshawekwa chato,

--Tayari Tawi la Bank limeshajengwa chattle,

--Tayari Hospitary kubwa inajengwa chattle,

--Tayari milioni 700 imeshatolewa ya kuboresha shule iwe ya kiwango kwa kuwa tu kwenye nafasi ya top 20 huko Chattle,

Kuna vingine vingi vinafanyika huko Chattle,

Licha ya hivyo vichache nilivyoviolozesha hapo unatamani vitu vingine vipi vijengwe au kupelekwa Chattle?

Cc Zero IQ.

Boss Zero IQ Mbona umeisahau Hifadhi kubwa ya Taifa ya Burigi - Chato itakayofunguliwa soon,
Hivi unazinduaje Hifadhi ya Taifa, atawafungulia Ngedere na Fisi??? Au atakata utepe Mageti ya Hifadhi??? !!!
Hongera Mh. Rais umewazidi watangulizi wako wote, Kuanzia Mwalimu Nyerere mpaka JK.
 
--Tayari barabara ya lami imeshajengwa chattle

--Tayari Uwanja wa Ndege tena wa kimataifa unajengwa chattle,

-- Tayari taa za kuongezea magari barabarani zimeshawekwa chato,

--Tayari Tawi la Bank limeshajengwa chattle,

--Tayari Hospitary kubwa inajengwa chattle,

--Tayari milioni 700 imeshatolewa ya kuboresha shule iwe ya kiwango kwa kuwa tu kwenye nafasi ya top 20 huko Chattle,

Kuna vingine vingi vinafanyika huko Chattle,

Licha ya hivyo vichache nilivyoviolozesha hapo unatamani vitu vingine vipi vijengwe au kupelekwa Chattle?

Cc Zero IQ.
Natamani kiwanda cha samami na nyama, kiwanda cha nguo na mafuta ya pamba. Hotel za grade ya 3* ziongezwe, pajengwe chuo kikuu cha serikali chenye kutoa shahada ya utalii mpaka PhD. Kusudi wanafunzi wafanyie mazoezi yao kwenye hizo nyanza zilizo anzishwa. Ni vingi mno bado huu ni mwanzo tu. Eh! Nimesahau soko kubwa la kimataifa lianzishwe pia.
 
tuchimbe bwawa kubwa sana tuliite CHATO OCEAN, ili tuwe na Beach pale Chato
Beach ipo ya ziwa Victoria na nzuri kuliko coco beach. Nafikiri unachangia tu bali hujui Chato iko wapi katika nchi hii. Kwanza chukua ramani ya Tanzania/au Google utafute Chato. Halafu uangalie mazingira yake utabadilisha mawazo yako.
 
Back
Top Bottom