Je, unatamani kitu kingine kipi kijengwe Chato?

Je, unatamani kitu kingine kipi kijengwe Chato?

Ili Chatto itambulike Kimataifa zaidi, Bilionea mwingine atakaetekwa tena tunaomba wakati wa kumwachia wakamwachie Chatto tena iwe pale jirani home kwa Baba J.
 
Ningeshauri zijegwe nyumba kubwa za kufanyia ibada Misikiti na Makanisa.
 
--Tayari barabara ya lami imeshajengwa chattle

--Tayari Uwanja wa Ndege tena wa kimataifa unajengwa chattle,

-- Tayari taa za kuongezea magari barabarani zimeshawekwa chato,

--Tayari Tawi la Bank limeshajengwa chattle,

--Tayari Hospitary kubwa inajengwa chattle,

--Tayari milioni 700 imeshatolewa ya kuboresha shule iwe ya kiwango kwa kuwa tu kwenye nafasi ya top 20 huko Chattle,

Kuna vingine vingi vinafanyika huko Chattle,

Licha ya hivyo vichache nilivyoviolozesha hapo unatamani vitu vingine vipi vijengwe au kupelekwa Chattle?


Cc Zero IQ.
Chuo kikuu cha kimataifa kiwe kama UDOM
 
Back
Top Bottom