Je, unatamani kitu kingine kipi kijengwe Chato?

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,202
--Tayari barabara ya lami imeshajengwa chattle

--Tayari Uwanja wa Ndege tena wa kimataifa unajengwa chattle,

-- Tayari taa za kuongezea magari barabarani zimeshawekwa chato,

--Tayari Tawi la Bank limeshajengwa chattle,

--Tayari Hospitary kubwa inajengwa chattle,

--Tayari milioni 700 imeshatolewa ya kuboresha shule iwe ya kiwango kwa kuwa tu kwenye nafasi ya top 20 huko Chattle,

Kuna vingine vingi vinafanyika huko Chattle,

Licha ya hivyo vichache nilivyoviolozesha hapo unatamani vitu vingine vipi vijengwe au kupelekwa Chattle?

Cc Zero IQ.
 
Bado Kimoja na ni muhimu sana nacho ni Hospitali ya Kuwatibu na Kuwapunguza ' Vichaa ' wengi waliojazana Tanzania, Afrika na Ulimwenguni kwa ujumla.
 
Mkuu iliyopo milembe inatosha unataka utuaminishe kwamba sasa hivi kuna ongezeko la vichaa wengi mpaka itokee dharura ya kujenga hospitary nyingine Chattle
 
--Tayari barabara ya lami imeshajengwa chattle

--Tayari Uwanja wa Ndege tena wa kimataifa unajengwa chattle,

-- Tayari taa za kuongezea magari barabarani zimeshawekwa chato,

--Tayari Tawi la Bank limeshajengwa chattle,

--Tayari Hospitary kubwa inajengwa chattle,

--Tayari milioni 700 imeshatolewa ya kuboresha shule iwe ya kiwango kwa kuwa tu kwenye nafasi ya top 20 huko Chattle,

Kuna vingine vingi vinafanyika huko Chattle,

Licha ya hivyo vichache nilivyoviolozesha hapo unatamani vitu vingine vipi vijengwe au kupelekwa Chattle?

Cc Zero IQ.
Wapelekewe mabasi kama haya ya mwendo kasi
 
Back
Top Bottom