Waweke mbuga za wanyama, waterfalls za kutosha, na milima mirefu
--Tayari barabara ya lami imeshajengwa chattle
--Tayari Uwanja wa Ndege tena wa kimataifa unajengwa chattle,
-- Tayari taa za kuongezea magari barabarani zimeshawekwa chato,
--Tayari Tawi la Bank limeshajengwa chattle,
--Tayari Hospitary kubwa inajengwa chattle,
--Tayari milioni 700 imeshatolewa ya kuboresha shule iwe ya kiwango kwa kuwa tu kwenye nafasi ya top 20 huko Chattle,
Kuna vingine vingi vinafanyika huko Chattle,
Licha ya hivyo vichache nilivyoviolozesha hapo unatamani vitu vingine vipi vijengwe au kupelekwa Chattle?
Cc Zero IQ.
[/QUOTE
Hakuna cha kupeleka tena kilichobaki ni wewe kwenda kutumia fursa zinazopatikana huko.
Nongwa,wivu,chuki na usongo mbwingoLicha ya hivyo vichache nilivyoviolozesha hapo unatamani vitu vingine vipi vijengwe au kupelekwa Chattle?
Chato University, Flyover na Chato Heart Institute.--Tayari barabara ya lami imeshajengwa chattle