Tupelekee nasisi mwendokasi
Flyover Kama mfugale
Na watujengee mall kubwa zaidi ya mlimani city
Hayo tu
Bado Kimoja na ni muhimu sana nacho ni Hospitali ya Kuwatibu na Kuwapunguza ' Vichaa ' wengi waliojazana Tanzania, Afrika na Ulimwenguni kwa ujumla.
wajenge sanamu lake sasa, tena walifanye liwe kubwa sana litoe na mwangaza wakati wa usiku litumulikie mpaka sisi hapa katoro.
Asante zangu zote zikuje kwenu ninyi mlio ifanya jioni yangu ya leo niapate cheko na tabasamu la haja wallah....tehteehh#Wahamishie ikulu ya magogoni chattle, ili pale dar tufanye makumbusho ya taifa.
Kuna uwanja unajengwa pia ukoUwanja Wa Taifa Wa Mpira Bado Hujafika Chattle Kweli?
Uko mbioni kujengwaUwanja Wa Taifa Wa Mpira Bado Hujafika Chattle Kweli?
Waweke na beach mkuu, maji ya ziwa victoria yapo kwahiyo kutengeneza bahari sio kazi mkuu.--Tayari barabara ya lami imeshajengwa chattle
--Tayari Uwanja wa Ndege tena wa kimataifa unajengwa chattle,
-- Tayari taa za kuongezea magari barabarani zimeshawekwa chato,
--Tayari Tawi la Bank limeshajengwa chattle,
--Tayari Hospitary kubwa inajengwa chattle,
--Tayari milioni 700 imeshatolewa ya kuboresha shule iwe ya kiwango kwa kuwa tu kwenye nafasi ya top 20 huko Chattle,
Kuna vingine vingi vinafanyika huko Chattle,
Licha ya hivyo vichache nilivyoviolozesha hapo unatamani vitu vingine vipi vijengwe au kupelekwa Chattle?
Cc Zero IQ.
Na kwako pia mkuu...tehteehhUmemsahau mleta uzi mkuu mr Zero IQ