Je, unatamani kitu kingine kipi kijengwe Chato?

Je, unatamani kitu kingine kipi kijengwe Chato?

--Tayari barabara ya lami imeshajengwa chattle

--Tayari Uwanja wa Ndege tena wa kimataifa unajengwa chattle,

-- Tayari taa za kuongezea magari barabarani zimeshawekwa chato,

--Tayari Tawi la Bank limeshajengwa chattle,

--Tayari Hospitary kubwa inajengwa chattle,

--Tayari milioni 700 imeshatolewa ya kuboresha shule iwe ya kiwango kwa kuwa tu kwenye nafasi ya top 20 huko Chattle,

Kuna vingine vingi vinafanyika huko Chattle,

Licha ya hivyo vichache nilivyoviolozesha hapo unatamani vitu vingine vipi vijengwe au kupelekwa Chattle?

Cc Zero IQ.
Tunaomba tujengewe mlima Kilimanjaro
 
Watengeneze kiwanda cha zile ngoma za mpendwa wetu.
 
Magufuli afanye vyote ila akisahau kupeleka baridi la Arusha au Marangu atakuwa anafanya kazi bure. Pamoja na vivutio vya wanyama, watalii pia wanalipenda baridi la Arusha. Kwa hiyo Mzee Magu asisahau kupeleka baridi huko Chato ili wazungu wahamie huko kwa wingi kama walivyohamia Tengeru.
 
Ajenge mtambo wakufyatua ela ilinuchumi wa chato ukue!
 
Jiwe anajitengenezea mazingira ili akin'gatuka hiyo 2050 akapumzike kwa raha mustarehe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] #Chattle oyeeeee
 
Chattle ni kijiji chenye heshima kubwa sana, upo mtaa maeneo ya Morocco umebeba hilo jina zuri lenye kufufua matumaini ya mama Tanzania. Chattle hoyeee
Nilishangaa siku nakatiza zangu pale nikitokea Morocco nakutana na hiyo kituu.

Ni kama vile hapa kawe beach katika hali isiyoelezeka kana mtaa wa TULIA AKSON
 
Back
Top Bottom