Eng. Y. Bihagaze
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 1,487
- 913
Jameni hodi humu MMU, nadhani ni Post yangu ya kwanza Kwenye Jamvi hili, Zamani watu waliliita FB na sentensi tele lakini Bado hili ni Jamvi Nguli, Hakuna asiyependa Wala kupendwa asikwambie Mtu, baada ya Vurugu, chakara, ma- ban ya Kufa Mtu huko Jukwaa la Stress no sorry Siasa, Let enjoy here.. Wakati Mwingine ukidhani una hekima ukaweka hekima yako Mbele ya KUKU wataikanyaga kanyaga tu..
Mie nieleze ukweli naodhani naujua Mimi Kwa mabint wanaotaka kuolewa! SIO kufanywa Na kutupwa.. Nina Vijihatua takriban 12
1:- identify kijana wa kiume unayedhani anafaa kuwa mr, mpeleleze in and out kabla ya kufungulia mawasiliano. Usiwe mzembe Hata kidogo, fuatilia home kwao, kazini, Knsn (Kama ni mkristo au msikitini), jaribu kutumia umafia Na akili kumpeleleza kupitia Hata Kwa wazazi au walezi wake but be carefully Mtu asigundue nyayo zako, mfano unaweza kumpigia cm mzazi wake kwamba wewe ni Bosi wa kampuni fulani unataka kumwajiri mwanae so akupe wasifu wake nk..hakikisha umemfaham Kwa ukamilifu, kama ukigundua kasoro kadhaa Basi geuza binocular lako na uelekeze somewhere else hadi upate unachotaka
2:-ukishapata sasa tafuta jinsi ya Kuanzisha mawasiliano, SIO vizuri kukurupuka, ANZA kuonyesha body langue. Kama ni kazini hakikisha siku isipite bila lau kujipitisha karibu yake, Kama ni jirani Basi undaunda visafari at least akuoneone, lakini uwe serious, usimwangalie usoni Wala usijichekeshe Mbele yake, vaa mavazi ya Heshima Na visuruale huwa SIO vizuri sana samahani Kwa wavaaji.usiwe Na Pupa, kila kitu ukipeleke Kwa hesabu Za uhakika. Kila kizuri hutafutwa Kwa bidii kalaghabaho !
3:-Tengeneza mazungumzo. Kwanza jifanye Kama unamwogopa sana, ikitokea mmekutana ana Kwa ana Basi msalimu Kwa adabu nzuri ya kutengeneza.. Namaanisha tengeneza heshima, Hata unaposalimiana na watu wengine Mbele yake Tengeneza heshima ya ajabu aione. Ikitokea akawa Na mazungumzo yoyote Na wewe mwachie aongee sana Yeye, wewe usichangie sana , ukimya unasaidia mno. Ila onekana kuyafurahia anayosema Hata Kama hupendi. Usionyeshe hisia Za ujuaji Wa lolote Mbele yake..maneno yako yawe "asante" "nashukuru Kwa ushauri" Na mengineyo machache.
4:-JITENGE, usiwe front Kwenye kila jambo akiwepo, Kama imetokea mmehudhuria hafla au sherehe ya kiofisi au harusi Na Yeye akiwepo Basi jiundie utulivu wa ajabu, jiundie viaibuflan Na Mara zote uwe unamuangalia angalia, kumbuka step hadi ya Nne Bado Hata cm hamjapeana. SIO kila kibwagizo unasimama kucheza no, akiwepo tulia Na soda yako Wala usiweke pombe yoyote akiwepo. Lazima uwe Na akili timamu unapowinda unachotaka.
5:-SASA PALE mnapofungulia mazungumzo ya CM, kwanza usimbeep Hata siku moja ni TABIA mbaya, usijionyeshe Kama una hela au huna, usimwombe voucher Wala Nini, isimwanze Kwenye cm, mwache Yeye akuamze, Na ninataka miseme kitu hapa, mawasiliano yanacover 87% ya mapenzi hadi Ndoa Na ndiyo pia yanayovunja mahusiano so lazima uwe makini.. hakikisha kila SMS anayokutumia unaijibu papo Kwa papo, hakikisha unakuwa Na cm sambamba Na excuse ni kitu mbaya sana kwanye SMS, usiwe Na excuse, saa zote akitumwa SMS unaijibu as faster as possible.. Na majibu yawe laini yenye lugha pembeuvu Kama " asante" , "kumbe we mtumdu ivo", " nna ham ya kukona tu", "alaf we ndo Nini ivo jamani", " labda ukinsubir dakika tano", "Asante nmeshiba mwezio" lugha laini Kama vile kiswahili hukijui vizuri au Kama Mgeni wa kuandika sms, usijifanye gwiji la SMS magie..
6:-asikuzoee, usijibweteke Muda mwingi kuwa naye atagundua so many madhaifu, keep distance, sana sana SMS
7:-usiwe BUSY kwake, hapa ndipo pa kuchunga sana, Kwa kuwa unatafuta Mtu havizii wanyama wawili porini a same time, trim mawasiliano ya SMS Na vyuko vingine wote, ikiwezekana badili sim card Kwa ajili yake, asikuone uko bize unachati au uko Na cm ngolooo ngolooo, usiguse simu yake Bali tengeneza mazingira aishike cm yako, Kama Ina wallpaper Basi iwe picha yake Na Ndani ya cm usimsave Kama honey, love, sweetie no majina hayo ni waliokubuhu wewe jifanye tu mshamba msave KAKA JOHN, kaka Rashidi Basi, mbwembwe nyingine no.
8:- hakikisha inbox Na outbox yako imejaa MSG zake all the time akikagua cm yako, wewe usikurupuke kukagua cm yake jifanye unamwamini 100%, wanaume wengi SIO waaminifu hilo ujue so ukikagua cm yake utakuta matakataka tu, usichukie anapokuwa na wewe kisha akawa busy Na cm, jua Ndo walivyo but atanyooka tu manake mahesabu yako si mcheZo. Kama kuna MSG Kwenye cm yako labda ni kutoka Kwa baba yako, mama, dada, kaka that way MSG Za kawaida mf, " Kumbuka harusi ya Doto ni Juni fanya bidii mchango", "mama anaumwa kichwa tumwobee"
9:-Adabu ya Mazungumzo:, Kwenye mazungumzo yako mwonyeshee Picha iliyonyooka Hata Kama ni ya kutengeneza. Akuone Kama Mwanamke mwoga, mpole, mtaratibu, mkimya, SIO chopchop, amejitunza akatunzika . Wavulana wengi hupenda kuuliza maswali ya kipumbavu na wewe unawajibu kipumbavu vilevile,
mfano wa mazungumzo unaweza kuwa hivi
Kij "Umeshawahi kuwa Na Boyfriend?"
Bin" ndio, Mara moja tu wakati nasoma Chuo ila tuliachana Kwa kuwa hakuwa muaminifu"
Kij"JE mlikuwa mna-duuu Mara Ngapi naye wiki"
Bin"ku-DUu unamaanisha Mapenzi, Hapana hatujawahi kufanya Hata siku moja, alinishawishi sana ila mimi sikutaka Kwa sababu nilijiwekea malengo sifanyi mpaka nimalize kozi Na kweli Mungu alinisaidia pia baba yangu alikuwa mkali niliogopa lolote lisije kutokea.."
Kij"JE Kwa sasa nani uliwahi kutembea naye"
Bint" Kwa kweli Bado sijaona labda atokee Kwa Sababu Ulimwengu wenyewe umepinda huu Mtu lazima ujichunge mwenyewe"
Kij"Ina Maana wewe ni bikra"
Bint" Sidhani, nikisema mie ni bikra labda ntakua nadanganya Kwa Sababu nakumbuka tulipokuwa wadogo hasa nikiwa darasa la kwanza tulikuwa Na michezo mingi iliyonitoa dam siku moja, tulichapwa sana Basi nikaogopa Na kuacha"
10: BAHASHA, Mwendo huu wa Mawasiliano Utamfanya kijana apandwe Na mshawasho wa kuifungua bahasha, usilogwe ukampa uchi, ukimpa tu umekwisha, mwambie tu we better be friend lakini SIO Ngono, Mwambie for many years hutaki kufanya kitu hii hadi Ndoa, Kwenye kauli mbiu ya Ndoa USIFANYE NAYE AT ALL BEFORE NDOA. Ukimfungulia bahasha, akasoma Ujumbe wote, ham ya barua inaishia hapo hapo.
11:- atakuwekea mitego KIBAO ili akunase Bahati nzuri hakuna mwanamke asiyeijua mitego ya wanaume, Muda wote mwonyeshe Kwamba matendo yake yamekubadili sasa unatamani sana Kifua chake lakini bila Ndoa no, mwonyeshe hisia zako, akikwambia karibu ghetto mwambie hujawaji kuwa Kwenye Majengo hayo, mwambie wazi Kwamba Kwa mvuto unaojisikia kwake lolote laweza tokea so bora uwe mbali kuepusha.. Atakwambia we njoo tu unansalimia na kutoka kataa latakata, atakwambia hisia si mambo ya kujikontroo tu, mwambie labda Yeye ameshayazoea ila Kwa upande wako, Na mvuto unaouona kwake kwa sasa hudhani Kama utakuwa Na nguvu ya kujizuia.. Maneno hayo himfanya apagawe Na lazima atangaze Ndoa
12:-Akianza manenomaneno ya Ndoa Basi onekana kuyapush faster, ila still ataendelea kukuwinda Kwa kila hali, sometime atatumia marafiki zake kujipitishia cm kupima flexibility yako, wape USO-mbuzi, Kama ni SMS "samahani kaka labda umekosea namba" Na Hapana kujibu tena SMS zao Hata watume 19 times. Mpe Picha ajue on earth zaidi ya wazazi Na ndugu zake wa Damu Basi ni wewe tu anawasiliana nawe..
Hata Kama una sura mbaya kiasi gani ukiapply hizi process lazima UTOKEZEE KWENYE SHELA..
Mkuu MziziMkavu naomba kutoa Hoja

Last edited by a moderator: