JE UNATAKA KUOLEWA? hatua 12 Kama unataka uolewe..

Afu beki tatu anatia timu! Aki luku zati aki luku zati du kina, chubwiii!! Anakula game!! Chezea beki tatu wewe!!
Af Jamvi hili Lina uhusiano Na lile la lugha Nini? Manake watu lugha wanazo askwambiemtu..!!
 
Eti umpikie mzazi wake ujifanya unataka kumuajiri mtoto wao.. Unategemea utapata majibu gani?
 
Sema wewe. Bhange bhange toka day one kuna wanaume hawapendi wanawake too innocent and mother model. Mie mwanaume mpoleee ambae hawezi kunikoromea nikaogopa wala simtaki.
Haya mambo ya kujifanya yanaponza.be yourself.Kama ipo ipo tu..Wanaolewa watukutu na watakatifu wanabaki manungaembe
 
mhm! haya tena mambo kama kuolewa kwenyewe ndo huku kazi kwelikwelii
 
Hapo nadhani unawafundisha kuigiza kabisa!
 
Ha ha haa

Hivi mapenzi yana hatua?

Mweee...nowadays?
 
Kazi kweli kweli! Haya mabinti wasaka ndoa mmeyasikia hayo? Men mnawindwa be careful na hizi pretendence! Lakin better 2 be yourself than pretending, im not sure if you can be 2 live pretending life for anylong!
 
Back
Top Bottom