JE UNATAKA KUOLEWA? hatua 12 Kama unataka uolewe..

JE UNATAKA KUOLEWA? hatua 12 Kama unataka uolewe..

Du mbona itakua kazi kwa wadada ku act hivyo,may be aliye desperate sana
Na hiyo idea ya kudanganya bikra ndio noma kabisa ukizingatia naye lazima akuchunguze
 
Dah! Kaaz kweli kweli cdhani kama kuna mwanaume anaweza oa bila kulamba buyu laasali iyo ilikua zama.[/QUOTE]
hapo kwenye red, ni kitu kigumu sana siku hizi. vijana wengi siku hizi wanangonoka sana.. sasa unadhan kipindi chote cha kupitia hatua hizi awe anakula ishu wapi? kimboka au? mabinti msibanie mbunye eti kisa ni kuolewa, utasababisha mchumba kucheat na kuachwa solemba.. ila tu toeni kwa step, kwa mwez mara 1 au 2, sio extreme kila wekend upo kwa mchumba na kufanya kazi zote za ndani..

I can buy all the steps, lakin sio kubana mbunye..
 
Mhh haya, ila hapo kwenye kudanganya kwamba ni bikra wakati walishapita watu kama timu ya mpira sipakubali sana
 
Mhh haya, ila hapo kwenye kudanganya kwamba ni bikra wakati walishapita watu kama timu ya mpira sipakubali sana
Kumbuka nilisema maswali ya kipumbavu yapewe alike answers. Hapana kutoa jibu la akili Kwa maswali kama hayo. Mtu anamuuliza mpenziwe mambo ya kigono yake, Kwani Yeye kaweka ya kwake Open?
 
Hapo utakuwa unalazimisha kila mwanamke kuolew kitu ambacho hakiwezekani kabisa. By the way kwani tabia inajificha??
Binti kama ni wa kuolewa ataolewa tu na kama si wa kuolewa hataolewa even if anywe kikombe cha babu part 2 baada ya kunywa kile cha awali.
Yote uliyoandika ni theory tu practical zero.
 
Haya mambo ya kujifanya yanaponza.be yourself.Kama ipo ipo tu..Wanaolewa watukutu na watakatifu wanabaki manungaembe
 
ni nzuri!!! nimezipenda sana..., hasa walokole hizi ndio zao...
 
Back
Top Bottom