Je unataka kujua siku ya kifo chako?

Je unataka kujua siku ya kifo chako?

Raphael Benjamin Kasoga,nimezaliwa 03/8/1982 haya kazi kwako,sema siku yangu ya kufa.
 
Wakuu, kama kweli unataka kufahamu siku ya kifo chako yani tarehe, mwezi na mwaka. unachotakiwa kufanya ni kutaja majina yako yote matatu pamoja na tarehe, mwezi na mwaka wa kuzaliwa then mimi nitakwambia siku yako ya kufa.

mfano: michael james kintonto. 23/05/1982

NOTE: kama hutaki hujalazimishwa waache wale wanaotaka kujua siku zao za kufa wasaidiwe.

Asanteni

samwel sita tar 9/12/1961
 
Wewe tapeli la kawaida!
Wana JF muwe macho inaelekea huyu jamaa anayo access kwenye data bank fulani na anatafuta password kuaccess siri zenu au account zenu.
Ukitoa tu information hiyo katazame akaunti yako kama huja pigwa!!!

Mkuu umenena.
 
Sijawahi kukutana na mtu kichaa na tayira, kama huyu jf,,!
 
Wakuu, kama kweli unataka kufahamu siku ya kifo chako yani tarehe, mwezi na mwaka. unachotakiwa kufanya ni kutaja majina yako yote matatu pamoja na tarehe, mwezi na mwaka wa kuzaliwa then mimi nitakwambia siku yako ya kufa.

mfano: michael james kintonto. 23/05/1982

NOTE: kama hutaki hujalazimishwa waache wale wanaotaka kujua siku zao za kufa wasaidiwe.

Asanteni

Patrick john lupembe 14/7/1983
 
we utakufa lini?
 
Huyu anazingua tu hata usijisumbue kumuamini...

Kwanini mtu ajiandae kufa na huku yupo busy na maisha. Una preach wrong mpendwa. Mungu hatafutwi katika fear na negativity. Halafu nimeona kuna sehemu unadai unasaidia, ondoa huo msamiati katika kichwa chako. You cannot help anybody let alone yourself....
 
Anyway! Ni program ambayo unaweza kudownload naku install Aidha kwenye sim au PC yako! Msingi wake wanaangalia maisha yalivyo kwa sasa,vyakula tunavyokula,nk! Kwahiyo siyo exactly true.
 
ntakutukana weweee!! emu acha kucheza na saikolojia zetu ohooo
 
mkuu hebu tuanze na wewe kwanza utupe jinallo na mwaka wako wa kuzaliwa

NB: hivi unajua hesabu ya maisha yetu ni Mungu ndiye aliyeshikilia kwanini unachujkua kazi ya Mungu?

Back
Top Bottom