Je unataka kujua siku ya kifo chako?

Je unataka kujua siku ya kifo chako?

mutant gene

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
876
Reaction score
326
Wakuu, kama kweli unataka kufahamu siku ya kifo chako yani tarehe, mwezi na mwaka. unachotakiwa kufanya ni kutaja majina yako yote matatu pamoja na tarehe, mwezi na mwaka wa kuzaliwa then mimi nitakwambia siku yako ya kufa.

mfano: michael james kintonto. 23/05/1982

NOTE: kama hutaki hujalazimishwa waache wale wanaotaka kujua siku zao za kufa wasaidiwe.

Asanteni
 
Majina Halisi

Kasumara Saronga Lekule Mmari.

Brith.18
Mwezi.6
Mwaka .1969.
 
wakuu, kama kweli unataka kufahamu siku ya kifo chako yani tarehe, mwezi na mwaka. unachotakiwa kufanya ni kutaja majina yako yote matatu pamoja na tarehe, mwezi na mwaka wa kuzaliwa then mimi nitakwambia siku yako ya kufa.

mfano: michael james kintonto. 23/05/1982

NOTE: kama hutaki hujalazimishwa waache wale wanaotaka kujua siku zao za kufa wasaidiwe.

Asanteni

Naomba unipe na mimi hayo maujuzi mkuu
 
unataka kuwafahamu watu eeh,wewe je unakufa lini?
 
Back
Top Bottom