Je unataka kujua siku ya kifo chako?

Je unataka kujua siku ya kifo chako?

Kweli JF kuna watu na vitu vya ajabu! Haya mnaoyafta wake/waume mnaona hii kitu? Wewe sina uhakika Kama ni bin Adam au bin.....duh! Inatishaaaa!

teh teh! mkuu umenifanya nicheke kwa nguvu mpaka nimejistukia! teh teh!!
 
Nuria Preta Martinez Luiz........

Marzo 13 de 1940............
 
Ngoja nikabadilishe password yangu ya mpesa fasta maana kilichobaki nikuambiwa tuna omba namba ya simu ili kukurefushia maisha
 
Peleka ujinga wako huko kwenu na utapeli wako..kwani wewe ndio umeshika roho za watu
 
Zaeed Bwakila Mkude,12 agosti 1978,twende kazi mkuu niandae na MC wa shughuli ya msiba wng kabisaa
 
mpaka sasa hakuna hata mtu ambaye amefanya kama niliyoagiza hapo juu!! hii inaonesha kuwa hakuna mtu ambaye yupo tayari kujua siku yake ya kufa( siku ambayo mtu atakutana na Mungu).

licha ya kuwa kila mtu anafahamu kuwa maisha ni mafupi na ipo siku ambayo atakufa(utakutana na Mungu wako)lakini binadamu hatuachi yale ambayo tumekatazwa katika vitabu vyetu ambavyo tunaamini( kwa wale wenye kuamini). kila siku watu wanazini, wanaiba, wanadhulumu, wanaroga, wanaua na mambo mengine mabaya. wakuu hizi pumzi tunazozivuta zisitudanganye tukawa wenye kujisahau hapa ulimwenguni! Mungu yupo na ipo siku utakutana nae. Tujitahidi kuishi kama tulivyoagizwa kwenye vitabu vyetu tunavyoviamini.

Kwa ufupi hakuna mtu ambaye anaweza kujua siku yake ya kufa na ndio maana tunatakiwa kila wakati tujiandae kwa hilo kwa kufanya yake ambayo ni mema.

Mbarikiwe na jumapili njema wote.

Amiinaaa
 
Bora ungeanza na mfano wa kutueleza Steven Wassira anakufa lini, labda ndo watu wangeweza kukuelewa.
Lakini unakurupuka na kutaka tarehe za watu kuzaliwa pamoja na majina Yao unadhani ni nani atakuelewa.
Peleka ujinga wako Facebook huko, ndiko watakakokushabikia lakini sio huku JF.
Ova
 
ipo siku ambayo atakufa(utakutana na Mungu wako)lakini binadamu hatuachi yale ambayo tumekatazwa katika vitabu vyetu ambavyo tunaamini( kwa wale wenye kuamini). kila siku watu wanazini, wanaiba, wanadhulumu, wanaroga, wanaua na mambo mengine mabaya. wakuu hizi pumzi tunazozivuta zisitudanganye tukawa wenye kujisahau hapa ulimwenguni! Mungu yupo na ipo siku utakutana nae. Tujitahidi kuishi kama tulivyoagizwa kwenye vitabu vyetu tunavyoviamini.
Kwa ufupi hakuna mtu ambaye anaweza kujua siku yake ya kufa na ndio maana tunatakiwa kila wakati tujiandae kwa hilo kwa kufanya yake ambayo ni mema.
Mbarikiwe na jumapili njema wote.
Wewe ningekushauri endelea na utapeli wako
lakini kujifanya unamjua MUNGU hapa JF ni kuchokoza mengine

kila siku watu wanazini, wanaiba, wanadhulumu, wanaroga, wanaua na mambo mengine mabaya.
Hao watu wabaya mbona ndio wanaishi maisha mazuri na bora na hawaadhibiwi wa kwanza?
KIFO NI SIRI na ungekijua ungetutesa sana kwa hiyo bora Mada yako iishie hapohapo
mchana mwema
 
.

Kwa ufupi hakuna mtu ambaye anaweza kujua siku yake ya kufa na ndio maana tunatakiwa kila wakati tujiandae kwa hilo kwa kufanya yake ambayo ni mema.

Mbarikiwe na jumapili njema wote.

kumbe na wewe ni FAKE PASTOR ulitaka kutufupishia maisha...
 
Back
Top Bottom