Mkuu hili ni jina lako? mbona watanzania hatuelewi kirahisi!! taja jina lako na sio watu maarufu.
Wakuu, kama kweli unataka kufahamu siku ya kifo chako yani tarehe, mwezi na mwaka. unachotakiwa kufanya ni kutaja majina yako yote matatu pamoja na tarehe, mwezi na mwaka wa kuzaliwa then mimi nitakwambia siku yako ya kufa.
mfano: michael james kintonto. 23/05/1982
NOTE: kama hutaki hujalazimishwa waache wale wanaotaka kujua siku zao za kufa wasaidiwe.
Asanteni
Nikupe taarifa za kuzaliwa na jina la mtu ambae tayari ni marehemu ili wewe sasa uniambie ni siku gani, mwezi gani na mwaka gani alifariki?
Ukitaja kwa usahihi siku, mwezi na mwaka wa marehemu huyo kufariki ndiyo hapo tutahamia kwetu sisi tulio hai.
mutant gene
Kwanini mtu ajiandae kufa na huku yupo busy na maisha. Una preach wrong mpendwa. Mungu hatafutwi katika fear na negativity. Halafu nimeona kuna sehemu unadai unasaidia, ondoa huo msamiati katika kichwa chako. You cannot help anybody let alone yourself....mpaka sasa hakuna hata mtu ambaye amefanya kama niliyoagiza hapo juu!! hii inaonesha kuwa hakuna mtu ambaye yupo tayari kujua siku yake ya kufa( siku ambayo mtu atakutana na Mungu).
licha ya kuwa kila mtu anafahamu kuwa maisha ni mafupi na ipo siku ambayo atakufa(utakutana na Mungu wako)lakini binadamu hatuachi yale ambayo tumekatazwa katika vitabu vyetu ambavyo tunaamini( kwa wale wenye kuamini). kila siku watu wanazini, wanaiba, wanadhulumu, wanaroga, wanaua na mambo mengine mabaya. wakuu hizi pumzi tunazozivuta zisitudanganye tukawa wenye kujisahau hapa ulimwenguni! Mungu yupo na ipo siku utakutana nae. Tujitahidi kuishi kama tulivyoagizwa kwenye vitabu vyetu tunavyoviamini.
Kwa ufupi hakuna mtu ambaye anaweza kujua siku yake ya kufa na ndio maana tunatakiwa kila wakati tujiandae kwa hilo kwa kufanya yake ambayo ni mema.
Mbarikiwe na jumapili njema wote.
Natom Mban Asaana
20/05/1983
Leonel Andres Messi
Jun 24, 1987
Mkuu hili ni jina lako? mbona watanzania hatuelewi kirahisi!! taja jina lako na sio watu maarufu.
Hakuna sayansi iliyofanikiwa kufahamu kiumbe cha Mungu anakufa lini...usilete uzushi hapa.