Je unataka kujua siku ya kifo chako?

Je unataka kujua siku ya kifo chako?

Wakuu, kama kweli unataka kufahamu siku ya kifo chako yani tarehe, mwezi na mwaka. unachotakiwa kufanya ni kutaja majina yako yote matatu pamoja na tarehe, mwezi na mwaka wa kuzaliwa then mimi nitakwambia siku yako ya kufa.

mfano: michael james kintonto. 23/05/1982

NOTE: kama hutaki hujalazimishwa waache wale wanaotaka kujua siku zao za kufa wasaidiwe.

Asanteni

Sitakufa bali nitaishi kwa YESU kuna uzima tele.Usijipe mamlaka ya ki ungu hata siku moja vinginevyo .....majuto.......(malizia mwenyewe)
 
Wakuu, kama kweli unataka kufahamu siku ya kifo chako yani tarehe, mwezi na mwaka. unachotakiwa kufanya ni kutaja majina yako yote matatu pamoja na tarehe, mwezi na mwaka wa kuzaliwa then mimi nitakwambia siku yako ya kufa.

mfano: michael james kintonto. 23/05/1982

NOTE: kama hutaki hujalazimishwa waache wale wanaotaka kujua siku zao za kufa wasaidiwe.

Asanteni

Wewe utakufa lini?
 
Nilikutana nae mtu mwenye talent kama hiyo yako nikampa majina yangu akacheki mahesabu yake akaniambia siku yako ya kufa ishapita , tokea siku hiyo sina wasiwasi kabisa.
 
Hahahaaah,,,,,,,huyo tapeli hasa.
 
Wakuu, kama kweli unataka kufahamu siku ya kifo chako yani tarehe, mwezi na mwaka. unachotakiwa kufanya ni kutaja majina yako yote matatu pamoja na tarehe, mwezi na mwaka wa kuzaliwa then mimi nitakwambia siku yako ya kufa.

mfano: michael james kintonto. 23/05/1982

NOTE: kama hutaki hujalazimishwa waache wale wanaotaka kujua siku zao za kufa wasaidiwe.

Asanteni

Una undugu na israel mtoa roho??
 
Nilikutana nae mtu mwenye talent kama hiyo yako nikampa majina yangu akacheki mahesabu yake akaniambia siku yako ya kufa ishapita , tokea siku hiyo sina wasiwasi kabisa.

haya maneno mnatoa wapi maana nimecheka
 
Back
Top Bottom