Je unaswali lolote la kumuuliza shetani...?

Je unaswali lolote la kumuuliza shetani...?

shetani eti una undugu na mwigulu? mbona anapenda damu za watu
 
Shetan Una undugu gan na ki team kimoja cha jiji la manchester huko england?mana wanatumia jina lako kama a.k.a
 
Shetan Una undugu gan na ki team kimoja cha jiji la manchester huko england?mana wanatumia jina lako kama a.k.a

nilisikia sana watu wakilalamika mwakajana mzima niliwapaka mavi wakafungwa mbaka bac
na bdo naendelea ntaendelea kuwawalisha sumu kama chi chi em
 
Owiiiiii....... mbavu zangu mmetisha sana leo
 
Shetani mbn unawapenda ccm.kuliko mpka umewapa.na Act?
 
shetani mbona huku umba wanadam kwa udongo****kma alivyo tuumba mungu kma kweli ww bingwa
 
Shetani nipe jibu,kwann unatawala mawazo yangu?unapata faida gani?
 
Back
Top Bottom