Je unaswali lolote la kumuuliza shetani...?

Je unaswali lolote la kumuuliza shetani...?

Mwa chando

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
359
Reaction score
122
Leo katika uzi huu, tunakuletea mahojiano ya live kwa txt na shetani.!
Uliza swali na utajibiwa bila kusita!
Twende thatha.!
 
shetani unaombaga ushauri kwa ccm au ccm wanaombaga ushauri kwako.
 
shetani unaombaga ushauri kwa ccm au ccm wanaombaga ushauri kwako.

aiseee kwa walivyokubuu hawa watu yani inanibidi mimi ndio niwaombe ushauri wao, maana kunavitu wanavifanya hata siwatumi nashangaaa hawa watu!
Mfano kuhusu Epa
 
Et shetan we wakike au wakiume mana kila anaefumwa ugoni si mwanamke wala mwanaume utaskia aksema ni shetan tu alinpitia au unazote mwenze2 teh
 
Et shetan we wakike au wakiume mana kila anaefumwa ugoni si mwanamke wala mwanaume utaskia aksema ni shetan tu alinpitia au unazote mwenze2 teh

yani hata mimi sielewi nimesingiziwa sana na binadamu, ndio maana nliamua nije na mfumo mpya wakipopobawa nimefwaidi wengi sana kama huamini jikague leo usiku alafu utaniambia kilichokutokea ni nini.!
 
ushawahi kunywa supu ya pweza?

binadamu bwana mnamakubwa mmejigundulia hii supu ili msumbuane mkishakamatana
mnanisingizia mimi!
Sasa kuna mfuasi wangu nimemtuma kwa atakaye jaribu hii kitu dushelele yake isimame hivyo hivyo mbaka kifo chake.!
shwaini.!!
 
Back
Top Bottom