Je unapenda matiti yaliyosimama? Soma Hapa

From the business point of view
Hus kwa nini tusiunganishe nguvu ili tuanze kutoa hii huduma hapa TZ? Inaonekana soko lipo. Tena tutoe 100% full money payback guarantee, kama dawa isipoleta matokeo

Halafu ile update ya kwanza iliyopo pale juu inawahusu flat chested, ambao wanataka kuwa na matiti makubwa, mazuri na yaliyosimama. Kwa hiyo suala la muda linategemea na na mtu anataka kuyanyanyua yaliyolala (lifting) au kuyaongeza yasioonekana (busting)

naunga mkono hoja. Eeh, tunaanzia wapi sasa? Halafu majaribio ya mwanzo tutayafanyia kwangu tuone kama kweli dawa zinafanya kazi. Lol.
 
Satisfaction Guarenteed Hus. Dawa zina fanya kazi kabisa, na zimekuwa approved. Kwani wewe una matatizo ya flat chested au sagging breasts? (hapo kwenye red)
Biashara, tutaanza na kupanda ile mimea iliyotajwa hapo juu, pamoja na kuwahamasisha watu wengine waipande, ili iwe njia moja wapo ya kuwainua kiuchumi (sisi tutawashirikisha wananchi sio kama babu wa loliondo)
Kisha tunasajili kampuni "E&H Herbs Pharmaceuticals Industries"
Kisha tunachukua kibali, na ku-recruit vijana wa pale muhimbili. What do you think?
 
yangu nataka yawe makubwa. Hahahaha! Kwahiyo inabidi tuanze kutafuta mashamba?
 
Swali,kwa wale wenye yaliyolala ad ktovuni,wakisimamisha kama msemavyo,c itabid bomoa bomoa ipite barabara ziongezwe!hahahah
 
Kwi kwi kwiii, Haa haaaa haaaa. Hili nalo neno Swts.
Kweli Mungu kaumba! Huwa nikiangalia kazi za mikono yake nashindwa kumuelewa kabisa, nabaki kumtukuza tu
 
yangu nataka yawe makubwa. Hahahaha! Kwahiyo inabidi tuanze kutafuta mashamba?
Haa haa haaa! Kama ni hilo tu basi nitakupm location ya kwenda kuchukua dawa (Binadamu bwana! Mwenye madogo anataka makubwa, mwenye makubwa anataka madogo, mbona muumba ana kazi! Anyway labda ndio maana ametujalia viumbe wake upeo na mimea kwa ajili ya kufanya renovation).
Halafu wewe jana ulikuwa wapi? Ina maana jana hukumuona BAGAH, akioganaizi trip ya kimanzichana kuangalia mashamba!?
wakazi wa DAR napenda kuwashirikisha hili: leo naenda KIMANZICHANA nasikia kuna mashamba yanauzwa bei poa...afu nitarudi niende MADALA...nako kuna deal la viwanja bei ni poa pia!..
tushirikiane katika suala hili la maendeleo wana Jf!
WOTE mnakaribishwa!

Mimi nimeshapata huko kimanzichana heka 100. Na leo nimetoka Msanga, kule heka 4 ni laki moja. Hii kitu nimedhamiria hus. Yaani tukianza kazi GND, Forever... lazima wafungashe virago. Sidhani kama watauweza mziki wetu. Hilo jina la biashara umelionaje lakini? Nataka nikafanye Name Search Brela, kabla watoto wa mjini hawajaliona.
 
Kwi kwi kwiii, Haa haaaa haaaa. Hili nalo neno Swts.
Kweli Mungu kaumba! Huwa nikiangalia kazi za mikono yake nashindwa kumuelewa kabisa, nabaki kumtukuza tu

hakika mjasiriamali,kikubwa tumshukuru Mungu kwa alivyotuumba,watu wanapambana na Cancer hawa wanaongeza kuni kuchochea cancer,coz even if ni ya Masaj au kupga jek kweli,zipo chemicals ama mionz lazma itatumika,n cdhani kama ni rafiki wa afya
 
Kwel Swts, urembo unagharama zake. Wengine wanaamua kupita short cut na kufanya surgery bila kutambua kuwa it may also affect sexual sensitivity of the nipples, wengine wanatumia hizo machine kwa manufaa ya muda mfupi, but wengine wanaamua kutafuta tiba mbadala ambazo ni rafiki kwa afya yake.
Thank God kwamba ametupatia mimea, therapy, yoga na uwezo wa kufanya mazoezi. But chaguo ni la mtu mwenyewe
 
Haa haa haaa! Kama ni hilo tu basi nitakupm location ya kwenda kuchukua dawa (Binadamu bwana! Mwenye madogo anataka makubwa, mwenye makubwa anataka madogo, mbona muumba ana kazi! Anyway labda ndio maana ametujalia viumbe wake upeo na mimea kwa ajili ya kufanya renovation).
Halafu wewe jana ulikuwa wapi? Ina maana jana hukumuona BAGAH, akioganaizi trip ya kimanzichana kuangalia mashamba!?

Mimi nimeshapata huko kimanzichana heka 100. Na leo nimetoka Msanga, kule heka 4 ni laki moja. Hii kitu nimedhamiria hus. Yaani tukianza kazi GND, Forever... lazima wafungashe virago. Sidhani kama watauweza mziki wetu. Hilo jina la biashara umelionaje lakini? Nataka nikafanye Name Search Brela, kabla watoto wa mjini hawajaliona.

hahahaha! Binadamu haturidhiki entrepreneur.
Hili ni bonge la deal kikubwa ni kufanya feasibility study ya uhakika. Msanga ndio wapi(si unajua mi wa mpwapwa nchi siijui vizuri)? Kuhusu jina limetulia sana tena linauzika. Lol.
 
afu ujue nimespesholize kwenye unyonyaji?
Inapunguza uwezekano wa kansa ya matiti, shauri zenu nyie kaeni mkitafuta yalosimama mie niko bize nanyonya.

Kongosho excuse, mi jana nilisahau miwani yangu garini, so leo nasoma pasipo miwani hivyo maandishi siyaoni vizuri, nayaona madogomadogo sana.
Hapa umesema uko busy kunyonya au kunyonywa ? Kwingine kote naona ila hapo tu ndiyo sioni vizuri .
 
J, angalia avatar yake, kwani inamajibu yote. Anasema amespesholaiz kunyonya
 
hahahaha! Binadamu haturidhiki entrepreneur.
Hili ni bonge la deal kikubwa ni kufanya feasibility study ya uhakika. Msanga ndio wapi(si unajua mi wa mpwapwa nchi siijui vizuri)? Kuhusu jina limetulia sana tena linauzika. Lol.

Ila ukubaliane kufanya kazi na wachina Mama. Nimeshapata wawekezaji na wataalamu waliobobea kwenye tiba asilia kutoka china tulipokuwa kwenye Investors Roundtable iliyoandaliwa na His Excellence President Jakaya M. Kikwete huko kwenye ofisi zetu ndogo za ubalozi.

Hata zile mbegu za hiyo mimea wao ndio wanazunguka nchi mbali mbali kuzikusanya. Sasa itabidi unitumie zile details zako zote (kama vile, jina lako halisi, Plot no (unapoishi), jina la mtaa, namba ya sim, mwaka wa kuzaliwa) kwa kutumia ile address niliyokuPM jana, ili niweze kujaza hizi form za BRELA (Form No. 14a na 14b) na kuandaa MEMARTS. Nimetoka BRELA asubuh hii kuonana na E. Mahingila (CEO wao) na amenipa go ahead kuhusu lile jina "E&H Herbs Pharmaceutical Industries". Ooh kuhusu lile swali lako, Msanga ni Pwani mama (mbele ya kisarawe). Huko ndipo alipozaliwa Harun Kahena (Inspector Harun wa Bongo Fleva)

Eneo la kiwanda litakuwa Visiga (tumepakana na Dr.Msabaha aka Bangusilo). Kwa taarifa zako (kwa kuwa hujatembea sana) eneo hili lipo karibu na mlandizi na tumechukua heka 30. Kwa sasa upembuzi yakinifu unaendelea, na kuna vijana wa ARDHI PLAN LTD pia wanatusaidia kuformalize ili tupate title deed tayari kwa kuchukua Mkopo mkubwa wa uwekezaji pale TIB kwa NONI.

Waambie majirani zako wa mpwapwa na mashoga zako wa JF kuwa umasikini sasa unaupungia mkono kwani umekutana na wajasiriamali wa ukweli (very industrious people). Ooh, almanusura nisahau, ule mchango wa dola 300 kama commitment fee na dola 400 kwa ajili ya shughuli za usajili uweke kwenye hiyo bahasha yenye zile form.
Thanks Hus
 
owkeey! Umepata mzigo wangu. Maana hupatikani hewani.
 
sawa aliyenipa mimba na kunizalisha na kunipa wajibu wa kunyonyesha ni nani?au huyo mtoto anayenyonya nimnyime chakula chake?mnajisahau eh,

Since you are a good lady with a lot of confidence and self estem, I simply want to appreciate your instinct with a little advice from my best of understanding.

Hivyo Lengo langu sio kukutukana bali natamani kukutafakulisha au kukutafakalisha kidogo!!! Just imagine; aliyekupenda mwanzo alikupenda kama ulivyo kuwa hali ukiwa na matiti yamesimama wima kama bendela ya Tanzania ukiwa kabula hujazaa katika safari yenu akakupa mimba kisha ukanyonyesha na matiti hayo yakashuka kisha kulala chaliiiii hivyo hana namna inabidi akabaliane na mabadiliko maana kwanza yeye mwenyewe ndiye kayasababisha mabadiliko hayo! But kwa bahati mbaya ya mungu ni mengi mimi na wewe hatujui kisha mkaachana au ukajikuta umebaki peke yako, hivyo ukabidi uanze upya safari ya mahusiano mapya na mtu mpya ambaye anatamani kukuta matiti yamesimama ili ayashushe peke yake.

Sasa sijui unaniambia nini hapo, je unataka kumlazimisha akubaliane na mabadiliko asiyohusika nayo? Hahahahahaha.

I know you are a good but smart lady bila shaka umejifunza kitu.
 
Na mengi ya aina hiyo ni mazuri kutomaswa kutomaswa
Hata hivyo kiasili;
1. Kujiamini kwa mwanamke kumejikita zaidi katika ukubwa wa matiti yake (na matiti mazuri ndio nguzo yake)
2. Wanawake wengi kama si wote hufurahia kutomaswatomaswa kwa matiti yao, na yakiwa yamelaa sana inaashiria kwa kuna hormones zimepungua hivyo kupunguza sensational effects
asànte ..watu hawataki maziwa makubwa ..xiwa limelalacndala za umoja au chupa ya chai
 
Back
Top Bottom