Je unapenda matiti yaliyosimama? Soma Hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je unapenda matiti yaliyosimama? Soma Hapa

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Entrepreneur, Mar 17, 2012.

 1. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  [FONT=&amp]BIASHARA huria imezua mengi. Hali kadhalika Sayansi na Tekenolojia nayo, imeleta mengi. Katika kuwaondolea kero wanawake wenye matiti yaliyosinyaa hapa nchini, wataalamu kutoka China wameanza kutoa huduma ya kunyanyua matiti, (watoto wa mjini wanasema kuyapiga jeki) kwa kutumia mashine maalumu.
  [/FONT]
  [FONT=&amp]Huduma hiyo ya kusimamisha matiti yaliyolala, imeanza kutolewa katika Saluni ya Blue Palace, iliyopo nyuma ya Shule ya Mapambano, Sinza jijini Dar es Salaam. Zoezi la kusimamisha matiti huchukua wiki tatu mpaka sita, inategemea aina ya mteja na wakati mwingine juhudi zake kwa gharama ya sh. 150,000/=. Kazi kwenu wanawake wenye matiti yaliyosinyaa na mnapenda muendelee kuonekana warembo.

  [/FONT][FONT=&amp]Source: Mwananchi, Mashine ya kuinua matiti ya wanawake yaingia nchini[/FONT]

  Maswali?

  Je unatambua kuwa kuna tiba asilia ya mimea/mitishamba?
  [FONT=&amp]Je unatambua kuwa kuna mbadala ukiwa nyumbani kwako?[/FONT]
  [FONT=&amp] Je zoezi hili linaweza kuwa na madhara kiafya mbele ya safari?[/FONT]
  [FONT=&amp]Je TFDA/TBS/Wizara ya Afya wamethibitisha haya?[/FONT]


  Karibuni muungane nami katika safari hii

  Updates 1
  Tiba Asili ya kutumia mimea/mitishamba kwa wale flat chested
  Update 2
  Tiba Asili ya kutumia mimea kwa wale wenye matiti yaliyolala
  Update 3
  Tiba Mbadala kwa wale wenye matiti yaliyolala ukiwa nyumbani kwako
   
 2. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Mh.. Wanajitengenezea cancer bila kujua!
   
 3. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Wanasubiliwa na M/MUNGU hao!
   
 4. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #4
  Mar 17, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Myner...!hutaki jek ww?
   
 5. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #5
  Mar 17, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Wanaume wanaume wanaume jamani mtaishia kupata katuni,wengine wanaongeza makalio kisa wanaume wanapenda wadada wenye makalio,haya sasa kwani matiti yaliyolala yana shida gani na nani kawaambia ladies yana shida?haya yakiwa madogo kelele hadi surgery ya kuongeza?jamani mateso,ushauri wangu kwa wadada mwanaume akija oh we mzuri lakini mnene usihangaike kujislim mwambie aende akatafute mwembamba oh wewe mweusi mwambia akatafute mweupe,kwa sababu unahangaika unapata mateso na on top kubwagwa,heri mimi i dont gv a damn about the way my body looks as long as im healthy
   
 6. d

  dandabo JF-Expert Member

  #6
  Mar 17, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 303
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  Mimi sioni tatizo hapo, (labda la kisayansi kama lipo) wanaume wote tunapenda wanawake wenye matiti mazuri yaliyo jaa sio ndala!
   
 7. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #7
  Mar 17, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Lakini Amy mbona sigara, pombe na vyakula vya viwandani vinasababisha cancer pia na watu wanachukulia poa tu
   
 8. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #8
  Mar 17, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Mbona wahusika walipohojiwa juz Eatv walsema siyo mashne ya kucmamisha matiti ni mashne ya massage bt maalum kwa matiti tu.
   
 9. Arvin sloane

  Arvin sloane JF-Expert Member

  #9
  Mar 17, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 963
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  mbona nimesikia hyo mashine imepigwa marufuku na wizara ya afya.
   
 10. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #10
  Mar 17, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Anayekupenda lazima akupende vile ulivyo na aridhike akianza kasoro za kijinga atafute asiye na hzo kasoro,yaani unyonyesha yabaki kama yalivyo dah,hivi mbona wa2 hawana kiburi changu,i cant get low,
   
 11. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #11
  Mar 17, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  eti kumassage matiti ili iweje?
   
 12. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #12
  Mar 17, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hapo kwenye red umenifurahisha sana Mamndenyi, lakin ina maana hata mazoezi hutaki kufanya ili mwili mwako uwe kwenye shepu nzuri? Au hata mlo kamili huzingatii ili uwe na afya na muonekano mzuri?
  Anyway hayo tuyaache lakin hapo unapotulaumu wanaume kunaweza kuwa na technical error kwani kuna wanawake wengine hawataki kujikubali jinsi walivyoumbwa. Wakiwaona wenzao walioajaaliwa (sijui nani kasema wao hawajajaliwa) wanatamani kuwa kama wao.
  Thank God (sijui ni sahihi kushukuru), Mchina yupo, nae anawapatia ile kitu roho inataka
   
 13. d

  dandabo JF-Expert Member

  #13
  Mar 17, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 303
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  Alivyokupenda si yalikua yamesimama?
   
 14. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #14
  Mar 17, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mbona bado huduma zinaendelea kutolewa
   
 15. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #15
  Mar 17, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Haa haaa haaaa. Wewe ni noma Mkuu
   
 16. d

  dandabo JF-Expert Member

  #16
  Mar 17, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 303
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  sipati picha mdada kajazia kifuani(mchina) huko kwenye makalio ndo kumevimba(mchina), itakua burdan ya macho! Mtaani tunaita dawa ya macho?
   
 17. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #17
  Mar 17, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  nakula vizur kwa raha zangu,nafanya mazoezi madogo kwa starehe just kuhakikisha im health lakini vi2ko vya sina makalio,or matiti yamelala or mi mweusi haviingii akilini,unajua mr,huyu mwanamke nani kamuambia matiti yaliyo lala si mazuri?mfano mi naona wadada waliojaliwa natural makalio na mimi nina pasi lakini hainisumbui kwa sababu wapo watu wanaopenda pasi yangu na scientifically hamna madhara ya nlivyo,kwa hyo kwa nini niache kujikubali,lakini hata humu jf ushaona mapicha ya wadada yanayowekwa na wakaka?wakaka ndio wanawapotezea confidence ladies,
   
 18. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #18
  Mar 17, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  sawa aliyenipa mimba na kunizalisha na kunipa wajibu wa kunyonyesha ni nani?au huyo mtoto anayenyonya nimnyime chakula chake?mnajisahau eh,
   
 19. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #19
  Mar 17, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Nasikia ipo na ya kurudisha bikira. Yaan huyu mchina sijui anataka atumalizie dada/wake zetu
   
 20. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #20
  Mar 17, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Dogo tuheshimiane...
  Usione simba kanyeshewa ukajua paka....
   
Loading...