Je unapenda matiti yaliyosimama? Soma Hapa

Wanadamu tumepewa utashi na akili ya kuchagua jema na baya...km mtu akiamua kitu si kwamba hajui madhara...
It is a matter of decision
 
nakula vizur kwa raha zangu,nafanya mazoezi madogo kwa starehe just kuhakikisha im health lakini vi2ko vya sina makalio,or matiti yamelala or mi mweusi haviingii akilini,unajua mr,huyu mwanamke nani kamuambia matiti yaliyo lala si mazuri?mfano mi naona wadada waliojaliwa natural makalio na mimi nina pasi lakini hainisumbui kwa sababu wapo watu wanaopenda pasi yangu na scientifically hamna madhara ya nlivyo,kwa hyo kwa nini niache kujikubali,lakini hata humu jf ushaona mapicha ya wadada yanayowekwa na wakaka?wakaka ndio wanawapotezea confidence ladies,
Yaan kama kila mtu angekuwa na mentality kama yako nadhan Dunia ingekuwa sehemu salama ya kuishi, lakini ndio hivyo tena, unaweza kukuta mtu yupo speed na gari barabarani kumbe anamuwahi mchina akapige jeki, au anawahi bar akatii kiu yake.
Hapo kwenye bold ni sahihi kabisa, lakin lawama hizo hazistahili wanaume peke yao kwan hata mwanawake wanatabia hiyo. Hebu fikiria mnaangali movie mara unamsikia mdada anasema, "eeh jamani huyu, mwanamke mzurii" mara kuna "wanawake waliojaliwa jamani" "natamani ningekuwa na shepu kama yule mwanamke". Sasa haya yote yanatoka wapi? Na nani kawaambia wao ni wabaya au shapeless?
 
Wanadamu tumepewa utashi na akili ya kuchagua jema na baya...km mtu akiamua kitu si kwamba hajui madhara...
It is a matter of decision
Pakiti ya Sigara imeandikwa kabisa "ONYO:uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako" na bado watu wanavuta. Na cha kuchekesha zaidi, Serikali nayo imehalalisha. Kweli ukistaajabu ya Musa ...
 
Hata sitaki! Ya nini yote hayo.. Nimejikubali nilivyo.. Nyie ndo mpunguze kuwa stress wenzenu mpaka wanaanza ku seek artificial beauty!

asante MUPE...wengine hawapigiwi wanacheza mbona!..hata mwenzio hajakwambia anataka yaliosimama km kichuguu ww huyo kwenye mchina...tehe!
 
Hata sitaki! Ya nini yote hayo.. Nimejikubali nilivyo.. Nyie ndo mpunguze kuwa stress wenzenu mpaka wanaanza ku seek artificial beauty!
Ukipata mwezi wako mnaoendana "a match made from heaven"., hawezi kuku stress. Hata kama kifuani unaonekana kama umening'iniza soksi.
I guess hili ndilo suala ErickB52 alilokuwa anajaribu kumwelewesha BAGAH. By the way, what's going on between you two?
 
Lakini Amy mbona sigara, pombe na vyakula vya viwandani vinasababisha cancer pia na watu wanachukulia poa tu

I think uchukuliaji poa unategemea na mtu. I personally DONT smoke..and try as much as i can to reduce intake ya vyakula vya viwandani.. Its a matter of choice! Si kila mtu anachukulia poa hivyo vitu.
 
Pakiti ya Sigara imeandikwa kabisa "ONYO:uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako" na bado watu wanavuta. Na cha kuchekesha zaidi, Serikali nayo imehalalisha. Kweli ukistaajabu ya Musa ...
Unajua kuingilia uumbaji wa Mungu ni dhambi kubwa...tumeumbwa tuwe na mabadiliko kimwili km hatukubaliani nayo ina maana tunameona Muumba kakosea...ni kosa kubwa sana....
Bora sigara kuliko hili
 
Labda km wanayalaza...coz huwezi simamisha kilichosimama....
Lol hii haigusi familia yangu
Nilidhani wewe na mwenzi wako mmeamua kuwasaidia wadada kisaikolojia kumbe wenzetu mmejaliwa! Na kibaya zaidi na nyie mnapenda yaliyosimama! I knew it
 
Nilidhani wewe na mwenzi wako mmeamua kuwasaidia wadada kisaikolojia kumbe wenzetu mmejaliwa! Na kibaya zaidi na nyie mnapenda yaliyosimama! I knew it
Hahhhahaaaaaa
Si tuko tayari kwa mabadiliko yote yajayo coz ni lazma yatokee...
Ila najua majority hawapendi kubadilika ila ni udunia ndio unawasumbua...
 
Embu jamani entrepreneur nisaidie umuhimu wa vitu hivi zaidi ya aliyouweka Mungu mfano matiti?makalio?rangi nyeusi?tumbo?kwa uelewa wangu ili mradi vinatimiza wajibu zake haijalisha vinashape gani au size!mimi kwangu uzuri wa hv vi2 ni luxury 2 cha muhimu wajibu wake,
 
Back
Top Bottom