Je unapenda matiti yaliyosimama? Soma Hapa

Embu jamani entrepreneur nisaidie umuhimu wa vitu hivi zaidi ya aliyouweka Mungu mfano matiti?makalio?rangi nyeusi?tumbo?kwa uelewa wangu ili mradi vinatimiza wajibu zake haijalisha vinashape gani au size!mimi kwangu uzuri wa hv vi2 ni luxury 2 cha muhimu wajibu wake,
Mamzalendo nadhani huu mtihani nimeshafeli kabla sijaanza kuujibu. Anyway nitajiaribu
Kwanza nakubaliana na wewe kabisa, lakini tatizo kubwa ni macho, Mungu ametupa macho ya kuona na upeo wa kutofautisha. Wewe unadhani vipofu wanahangaika na hayo mambo? lakini cha kushangaza nao wanapenda/wanapendwa na wanazaliana pia.

Nionavyo mimi, binadamu wakiamua kutreasure kitu chochote (lets say matiti yaliyolala), na kuyaona ni kitu cha kuvutia, basi akili za watu nazo zitajitune hivyo hivyo, lakini tatizo letu sisi (watu weusi) tunawaamini na kuwasubiria hawa wenye ngozi nyeupe (wazungu wachina ...) ndio watuambie which is which

Mfano
Binafsi nilikuwa navutiwa na yale mashindano ya MISS BANTU (hivi yako wapi siku hizi?), kwan yaliwafanya wadada wa kitanzania wawe huru, wajiamini, wajikubali huku wakijijenga kisaikolojia kuhusu maumbile yao, lakini yalivyokuja haya ya kina Uncle Lundenga, tukaanza kuona mabinti wanavyohangaika na diet au pills ili tu waslim, kwani washiriki wanatakiwa waende na fashion na fashion iliyopo ni English Figure (yaan hata hilo jina lenyewe, English Figure halikututisha kuwa tunazidi kuwajenga wazungu kisaikolojia zaidi kuwa maumbile yao ndio superb).

Matokeo yake, madada zetu wamezidi kuathirika zaidi kisaikolojia na kushindwa kukubaliana na miili yao ya asili na jamii nayo (with exception) imebadili mtizamo pia.
 
eti kumassage matiti ili iweje?

kurelax kama anyothr kiungo cha mwili!kwa madai yao..bt i jus love ma swtself,massage atanfanyia mr wangu kwa ushirikiano wangu mkamilifu..na cyo bana ba kongo na ba chainiz,Lol
 
kurelax kama anyothr kiungo cha mwili!kwa madai yao..bt i jus love ma swtself,massage atanfanyia mr wangu kwa ushirikiano wangu mkamilifu..na cyo bana ba kongo na ba chainiz,Lol
Product/huduma nyingi (hasa zinazohusu afya/mwili wa binadamu) zinapoingizwa sokoni kwa mara ya kwanza huwa zinapingwa sana lakini baadae watu huzoea na kuzikubali.
Ngoja MaDr. waje na tafiti zao zinazohusu massage ya matiti na watwambie ni muhimu kwa afya ya mama na mtoto. Hapo hutoki Swts
 
Embu jamani entrepreneur nisaidie umuhimu wa vitu hivi zaidi ya aliyouweka Mungu mfano matiti?makalio?rangi nyeusi?tumbo?kwa uelewa wangu ili mradi vinatimiza wajibu zake haijalisha vinashape gani au size!mimi kwangu uzuri wa hv vi2 ni luxury 2 cha muhimu wajibu wake,

Kwa kweli Mamzalendo sijaridhika na maksi, ulizonipatia awali, hivyo nineamua kureseat tena, baada ya kupitia madesa yangu

Ingawa matiti ni kwa ajili ya chakula cha mtoto mchanga (yaan wajibu wake kama wewe unavyosema), baba ndiye hujikuta mara zote anaishia kuchezea kama mali zake.Kutokana na maelezo ya Charles Darwin (Natural Selection) mwanaume hujikuta anatumia kigezo cha matiti kuchagua partner ambaye ana matiti umbo fulani bila yeye kujua, kumbe ni kuchagua partner mwenye afya na mwenye uwezo wa kuzaa. Kutokana na maelezo ya bwana Darwn, wanaume hutiwa na kuchanganyikiwa kabisa na matiti sharp kwani ni dalili kwamba huyo mwanamke anauwezo wa kuendeleza species yao.

Matiti ni ufunguo (key) kwa mwanamke kusisimka kimapenzi, kwani yana direct connection na msingi wa mwanamke kusisimka kimapenzi (libidinal zones), hivyo mwanaume anapenda matiti na anachanganyikiwa nayo kwa sababu yanaweza kumsisimua mke wake vizuri na kuwa tayari kuwa mwili mmoja. Kwa hiyo moja ya Home Entertainment Center ya mwanaume ni matiti ya mkewe so mwanamke anayejua siri huhakikisha mume anaitumia hiyo hardware.

Halafu, matiti husisimua wanaume visually kwani wanaume husisimka kwa kile wanaona, matiti yaliyosimama (shape, A class) husisimua zaidi na kutoa attention kubwa kwa mwanaume, ukiacha genitals, pia matiti ni moja ya physical feature ambayo inamtambulisha mwanamke na kumvutia mwanaume (attraction).


Mwisho na ndio msingi wa yale maelezo ya awali ni kuwa, mwanaume huchanganyikiwa na matiti kwa sababu ya msukumo wa jamii. Kwani ni binadamu peke yao (katika wanyama wote) ambaye hutumia matiti (fondling) ili kusisimuana kimapenzi. Magazeti, Televisions, mamodel, Catalogs, matangazo ya biashara, fashions, movies, films yote ni source ya kutangaza uzuri wa mwanamke na matiti. 24/7 katika siku 365 za mwaka, mwanaume anayekutana macho kwa macho ya vyote hivi kwa nini asichanganyiwe akiona kifua cha mwanamke mwenye matiti yaliyosimama? Ndiyo maana mara nyingi wanaume wanapoongea na mwanamke huangalia kifuani badala ya usoni
 
Mimi sioni tatizo hapo, (labda la kisayansi kama lipo) wanaume wote tunapenda wanawake wenye matiti mazuri yaliyo jaa sio ndala!
Na mengi ya aina hiyo ni mazuri kutomaswa kutomaswa
Hata hivyo kiasili;
1. Kujiamini kwa mwanamke kumejikita zaidi katika ukubwa wa matiti yake (na matiti mazuri ndio nguzo yake)
2. Wanawake wengi kama si wote hufurahia kutomaswatomaswa kwa matiti yao, na yakiwa yamelaa sana inaashiria kwa kuna hormones zimepungua hivyo kupunguza sensational effects
 
Mh.. Wanajitengenezea cancer bila kujua!
Je wangetumia mitishimba, ungebadili msimamo wako Amy? Kuna habari njema pia, kwani kuna mitishamba inayoweza kufanya kazi hii hasa kwa wale walio flat kifuani. Miti/Mimea hiyo ni kama

Fenugreek : Kwa kawaida matunda ya mmea huu yalikuwa yanatumika na wanawake wa Kigiriki kuongeza ukubwa wa matiti yao na imehakikishwa kisayansi kuwa mtishamba huu huongeza athira ya mastogenic kwa misuli inayotengeneza maziwa. matunda( mbegu ) ya mtuii huo yalikuwa yanatengeneza aina ya dawa ijulikanayo kama phytochemical diosgenin na estrogenic isoflavones zinazooongeza utengenezaji wa dawa ya estrogen katika mwili, dawa ambayo ni ufunguo kwa matiti yenye shepu ya mchonoko na yaliyojaa.

Mmea wa Saw Palmetto:Huu ni mmea wa kaskazini mwa Marekani na kwamba unafanana na mtende ni moja ya mmea wenye kemikali chache unaotengeneza musuli na husawazisha matatizo ya mkaziwa yenyewe.

Fennel Seed:Husaidia kuzalisha musuli nyingine mpya
L-Tyrosine:Hii ni amino acid, Tyrosine ambayo hudhibiti uzalishaji wa homoni na hivyo kupunguza unene na.
Mexican Wild Yam:Matumizi ya kila siku yanapunguza michirizi isiyotakiwa katika matiti.
Kelp:Ni zao la baharini. Ni chanzo bora cha madini ya iodine chakula chenye hiki huleta homoni zilizojipanga vyema.

Damiana:
Kikawaida hutumika kwa ajili ya kuleta mizania ya homoni.Kuleta ukuzi mwema wa matiti, kupunguza dalili za matatizo yanayoambatana na siku za hedhi na kuchanganya ashiki;husaidia kupunguza uzito kuleta nguvu na kuondoa uchovu.
Dong Quai:kikawaida mmea huu wa Asia hutumika kuripea seli ikiwemo ya mammorianna, (tezi za matiti).
Mother's Wort:Mmea uliopo sehemu nyingi za Ulaya na kandoni mwa mito ambazo hutoa msukumo fulani katika kano la uzazi.

Black Cohosh :
Mmea unaopatikana kaskazini mwa Marekani hutumika kama dawa ya kubadilisha homoni.(known as both Actaea racemosa and Cimicifuga racemosa). Mmea huu husaidia hata kansa ya titi
Avena Sativa:Ni kama shayiri na ina kiasi kikubwa cha saponins, flavonoids, minerals, na alkaloids kwa ajili ya mfumo wa homoni.

Humulus Lupulus
(Common Hop): Mmea huu husaidia kuimarisha matiti. It contains phyto-estrogen which acts like the female hormone estrogen in the body. This plant has also been used for menstrual difficulties for over 2500 years, with its earliest uses documented during early Roman and Greek history.

N.B
Ni lazima kuwe na mizania ya mitishamba hapo juu ili kupata kile kitu unachotaka. Na ndio maana Kliniki moja ya Afrika Kusini( St Herb Beauty Breast Care) imekuja na fomula yake inayoitwa Beauty Bust Herbal Breast Enlargement Formula ambayo ina mchanganyiko wa mimea hiyo na ambayo hushawishi kukua kwa misuli za matiti ili kuyaongezea uzuri matiti yako.
 
Mimi sioni tatizo hapo, (labda la kisayansi kama lipo) wanaume wote tunapenda wanawake wenye matiti mazuri yaliyo jaa sio ndala!

Dandabo, unayapenda kwa? ................
Kwani bado hujaachishwa nyonyo ?
Au unayo sababu nje ya hizi ?
 
Dandabo, unayapenda kwa? ................
Kwani bado hujaachishwa nyonyo ?
Au unayo sababu nje ya hizi ?

Haa haaa haaa.
Judgement, ina maana wapo wanaozunggumzia uzuri wa matiti kwa sababu za kunyonya?
Kwani nao, kwa umri wao wanafika huku?
Sasa itabidi either sisi tuchague maneno ya kuyaandika kwa uangalifu au Adminstrators waongeze restriction yenye kigezo cha umri

ONYO. Hii ni kwa wakubwa tu
 
Mimi sioni tatizo hapo, (labda la kisayansi kama lipo) wanaume wote tunapenda wanawake wenye matiti mazuri yaliyo jaa sio ndala!

Hapo kwenye RED Dk Innocent Mosha wa Kitengo cha Patholojia Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, anasema ni vigumu kwa wataalamu wa afya kugundua madhara ya mashine hizo kwa haraka hadi pale uchunguzi utakapofanyika.


"Ingelikuwa mazoezi hayo yanachukua muda mfupi, kweli tungepata wasiwasi kwa kuwa, unapoisimamisha misuli kwa haraka ni lazima madhara yatokee, lakini hili la mazoezi, bado sifahamu," anasema Dk Mosha.
 
Hata kama niwe na lapa kifuani....bado sipresheki na makorokoro yao!!
Wanawake wenye misimamo kama wewe, katika kizazi chetu ni wachache sana. Kwa kweli mnanifurahisha na kunivutia sana. Hongereni sana kwa hilo lakini mimi bado nina maswali machache tukiachana na hii kitu wanayoita "BREAST MASSAGE" kwa kutumia hiyo mashine

Je swala la kutumia mimea unaafikiana nalo? (Hata mafundisho yanatuambia kuwa Adam na Hawa walikuwa wanatumia)
 
Wanawake wenye misimamo kama wewe, katika kizazi chetu ni wachache sana. Kwa kweli mnanifurahisha na kunivutia sana. Hongereni sana kwa hilo lakini mimi bado nina maswali machache tukiachana na hii kitu wanayoita "BREAST MASSAGE" kwa kutumia hiyo mashine

Je swala la kutumia mimea unaafikiana nalo? (Hata mafundisho yanatuambia kuwa Adam na Hawa walikuwa wanatumia)

As long as sinaga habari kabisa na mambo hayo......sijui hata nikujibu nini ndugu!!
 
As long as sinaga habari kabisa na mambo hayo......sijui hata nikujibu nini ndugu!!

Nimekuelewa Kipipi, You don't need to tell me anything else.
Lakini HUDUMA za tiba asili na tiba mbadala hapa nchini zimekuwepo tangu enzi za mababu zetu, ila tu zilidhoofishwa na ujio wa wageni katika kipindi cha ukoloni.

Kwa kutambua hilo ndio maana ;
1. Serikali ilitunga sheria mwaka 2002 ili kuregulate hii huduma (The Traditional and Alternative Medicine Act, No 23 of 2002)
2. MUHAS wameanzisha mafunzo ya shahada ya pili inayohusu tiba asili
3. Serukali imeanzisha kitengo ndani ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kinachoshughulikia huduma za tiba asili na tiba mbadala.
So, it's not that bad, kwani hata haya madawa mengine tunayorumia yametokana na mimea
 
Back
Top Bottom