daydreamerTZ
Senior Member
- Sep 26, 2020
- 118
- 189
- Thread starter
- #21
Iko hivi wewe ni mfanyabiashara then unashawishi wateja kusubscribe kwenye email list yako (mara nyingi kupitia website) then mteja anakuwa anapokea updates directly kwenye inbox yake... labda ni taarifa kuhusu promotion, discounts and other offers...Email marketing ndo nini
1. Unakuwa rasmiNinaomba kufahamishwa faida za kusajili biashara yako BRELA
1. limited ni kampuni ambazo liability ya owner ina kuwa limited either by shares walizonazo au by guaranteeNaomba tofauti kati ya hivi vitu.
1. Xyz limited vs investment vs enterprises
2. Public vs government companies
3. Process of assigning company to stock market eg DSE
0629706263 Whatsapp nikupeKatika kusajili kampuni nimekwama pale kwenye kupata fomu namba 14b. Hii fomu naipata vipi na inajazwa na nani?
🙏Kama ni ndiyo basi GAPO GROUP LIMITED ni mkombozii Kwako. Ni kampuni ya ndani ya nchi ambayo imesajiliwa kisheria na yenye uzoefu wa masuala yote ya biashara kuanzia usajili hadi namna gani utaikuza biashara yako.
Huduma zitolewazo
1. Kusajili kampuni-
2. Kusajili jina la biashara-
3. Kuandaa memorandum and article of association-
4. Gharama za mwanasheria-
5. Makadirio ya Kodi-
6. Kuandaa business plan-
Kwa mawasiliano zaidi
Piga / wa.me 0629706263
Barua pepe : gapogrouplimitedtz@gmail.com
Kuuliza ni bure kabisa
Kama ni mtihani, basi umefaulu👏👏👏Boss Asante sana kwa mchango wako. Umekosoa kwa kujenga.
shukran mkuu, Asante kwa kupitia tena Uzi huu almost mwaka na nusu sasa 🙏Kama ni mtihani, basi umefaulu👏👏👏
Ngoja nichukue na namba yako. Nikikamilisha mambo fulani nitakutafuta.shukran mkuu, Asante kwa kupitia tena Uzi huu almost mwaka na nusu sasa 🙏
sawa mkuu karibu sanaNgoja nichukue na namba yako. Nikikamilisha mambo fulani nitakutafuta.