Balhabou wamepoteaaaaa kabisa!Scaba scuba, ilikuwa ni Mitsubishi Rosa nyekundu six cylinder. Enzi zile gari nyingi zikikuwa zikifanya safari 3 x 2. Kulikuwa na Camp Safari, Jongwe, El Sakran, Sansui, Accountant, Red Rooster, Cheetah, Uvikiuku, Selungwi, Wagala, Balhabou niishie tu hapo.
Huyu si ailipiga mabilioni barclays -ABSA Family?Balhabou wamepoteaaaaa kabisa!
Everyday is Saturday............................... 😎
Siyo maarufu bro, wao ndio wenye Kigamboni yao. Wamezaliwa na kukulia huko.Sasa wamejiwekeza kigambon Wana biashara nyingi nyingi hasa kwenye center zote zilizochangamka kigambon kuanzia feri shangwe Wana maduka ya hardware na baadh ya malori ya kubebea bidhaa zao.
N WATU MAARUFU KWA UKANDA WA KIGAMBONI
Hii ilikuwa Bafadhil wa Morogoro.
Of course kama 1988-2000 ulikuwa mtoto au hujazaliwa huwezi jua hayaShkuba hayo majina mbona yana element za utapeli? Si ndio huyo aliyekuwa anauza Ngada? Scuba na magari wapi na wapi? Scuba si Hardware na Fremu tu?
Hawa na kina jasusi bobezi na Mwamedi, wanatuhuma nzito sana na hayati Gaddafi. Kiwanda cha cement Lindi.Huyu si ailipiga mabilioni barclays -ABSA Family?
Nyingine zilikuwa Pop Juice, Master Top nk. Hizi zilikuwa zinapaki Magomeni Mapipa opposite CRDB Morogoro Road.Scaba scuba, ilikuwa ni Mitsubishi Rosa nyekundu six cylinder. Enzi zile gari nyingi zikikuwa zikifanya safari 3 x 2. Kulikuwa na Camp Safari, Jongwe, El Sakran, Sansui, Accountant, Red Rooster, Cheetah, Uvikiuku, Selungwi, Wagala, Balhabou niishie tu hapo.