Nxt Millionaire
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 406
- 89
duh, long nakumbuka kipindi cha mashairi rtd saa nane, ndo mida ya kutoka shule, njaa inakongoli, jua linawaka na chini umetia chachacha, ni full mateso.
Kweli kipinde kile raha sana. Nakumbuka katika tarafa vijijini, moja akiwa nalo kijiji kizima kitasoma.
duh, long nakumbuka kipindi cha mashairi rtd saa nane, ndo mida ya kutoka shule, njaa inakongoli, jua linawaka na chini umetia chachacha, ni full mateso.
The big mayai,Galilaya etc!!Nayakumbuka Mabasi yalio tamba hinzi hizo. Kiswere, Zainabu, Superstar, Urafiki, Amwenye na mengine mengi
Viatu vinaitwa-DH
CHUPI ZA V.I.P KWA MALES
CHUPI ZA TAIWAN 4 FEMALES
MAGAGULO,Mabalongo,KANIKI,SABUN YA MBUNJU,FOMA,KIPINDI CHA MAMA NA MWANA, BAISKEL ZA SWALA,MADUKA YA RTC,MAFUTA YA RAYS,ASHANTI,NDALA ZA UMOJA,SKY WAY,KITO,
Kulikuwa na mchezaji wa bush stars ansitwa kobelo. Hadithi tsmu ya maji mzito mtunzi marehemu m.m bawji