Je, unajua kuwa taifa la Israel lingekuwa katika eneo la Afrika Mashariki?

Kwanza sijui kama Israel wangekubali kukaa huku Afrika mashariki wakati sehemu ambayo wanahistoria nayo wanaijua ilipo

Na wangekaa huku nadhani wangetulia maana nikama wamepewa ufadhili sehemu ambayo hawana kumbukumbu nayo yoyote.

Wanagombana na wapalestina sio tu kwasababu ya ardhi Bali wanamaeneo yao muhimu ya kiimani wanayahitaji kutokana na historia yao, Sasa hapa Afrika mashariki historia yao inawaonesha Nini nadhani wangekuwa kama Liberia ama siera Leon kama kipigana wangepigana wenyewe Kwa wenyewe
Tatizo umelishwa imani ya kidini na ukaamini israel eneo lake la asili ni Mashariki ya Kati. Bila kusoma historia. JIBU maswali haya

UNO Resolution 181(II) la 1947 tarehe 29th November Tukio lililofanyika lilikuwa linahusu nini?

14th may 1948 kulitokea Tukio gani?

1950s Israel na MAREKANI kwanini walianzisha neno UGAIDI na MAGAIDI?

UKATIRI, UBAGUZI, MAUAJI , UBOMOAJI MAKAZI ,NA UKOLONI WA KUTUMIA JESHI uliofanyika Kuanzia 1948 Hadi leo
 
Mtoa mada anawasubiri watakaomjibu kwa hamu,na wamemjibu lakini ameukimbia uzi wake.

Sasa sijui anamuuliza bwana gugo huko alipo,au wapalestina wa Tandale ili wampe nondo za kuendelea kushabikia ujinga
Hakuna aliyejibu hata moja zaid ya kuleta porojo za Kidini. Welete maswali nasubiri majibu sitaki ushabiki
 
Hili lilikuwa pendekezo la Uingereza wakati wa ukoloni.

Image endapo ISRAEL angepata hiyo ardhi Apo uganda ingekuwaje mpaka sasa. KWA hali tunayoiyona KWA Ndugu zetu PALESTINE kupokonywa ardhi na kukaliwa kimabavu. JE tungepokonywa sisi na hawa madhalim na kisha kuuwawa kikatili kama wanavyouwawa wa PALESTINE je kuna mtu angeendelea kulishobokea hili taifa linaloitwa ISRAEL
Walikataa katakata na wala wasingekubali kwakuwa walitaka kwenda kuishi kwenye asili yao
 
Kwa hiyo ni mpalestina? Mbona nyie black mamba hua mnajifanya waarabu wakati waarabu wenyewe wanawaita nyie ni manyani na watumwa wao anaeipenda israel acha aipende na ww wapende hao waarabu wenzako halaf suala na kuonewa kwanini hao waarabu wasiungane waipoteze israel yaani watu bilioni moja mnateseka kwa ajili ya watu ambao hawafiki hta milioni kumi huoni nyie ni wajinga na wapumbavu
Mbona unaongea sana Ndugu aliyekuambia waarabu wanatuona sisi nyani ni nani. Unafikiri Uislam ni ubaguzi kama nyinyi mnavyobaguana huko makanisani. Nenda kaswali misikitini ya upanga, kariakoo na mnazi mmoja uone jinsi tunavyoishi na waarabu kama Ndugu. Kama nyinyi wazungu wanavyowaona manyani huko makanisani.. usichukulie na Uislam ni hivo hivo tembea ujione na sio kuleta chuki za kidini
 
Mbona unaongea sana Ndugu aliyekuambia waarabu wanatuona sisi nyani ni nani. Unafikiri Uislam ni ubaguzi kama nyinyi mnavyobaguana huko makanisani. Nenda kaswali misikitini ya upanga, kariakoo na mnazi mmoja uone jinsi tunavyoishi na waarabu kama Ndugu. Kama nyinyi wazungu wanavyowaona manyani huko makanisani.. usichukulie na Uislam ni hivo hivo tembea ujione na sio kuleta chuki za kidini
Jibu hili swali mbona unalikimbia
Kama palestina ilikua nchi
Ntajie marais watano tu au wafalme wa palestina kabla ya mwaka 1948

Mmekua mkilalamika palestina imechukuliwa ardhi yake naomba nijibu hilo swali kama ni nchi ntajie wafalme watano wa palestina kabla ya 1948
 
Jibu maswali hapo wakuna aliyeleta chuki za kidini. Nashangaa nyinyi Wayahudi wa kwa Mtogolo mnaleta udini na ushabiki badala kujibu hoja za msingi
 
Kama palestina ilikua nchi
Ntajie marais watano tu au wafalme wa palestina kabla ya mwaka 1948

Mmekua mkilalamika palestina imechukuliwa ardhi yake naomba nijibu hilo swali kama ni nchi ntajie wafalme watano wa palestina kabla ya 1948
PALESTINE MIAKA 30s na 40s KABLA YA UVAMIZI WA FAKES JEWS
1700119240667.jpg
1700119244832.jpg
1700119247799.jpg
1700119250350.jpg
1700119252972.jpg
1700119255373.jpg
1700119257890.jpg
1700119260312.jpg
1700119262573.jpg
 

Attachments

  • 1700119265085.jpg
    1700119265085.jpg
    86.8 KB · Views: 5
We ni muongo sana israel inapata uhuru mwaka 1948 idd amin au gadaffi hakuna aliyekua rais uganda na libaya yalikua ni makoloni sasa unasemaje walipinga israel isiwe nchi kama sio uongo wa waziwazi

Iddi anapata urais 1971 tayari isreali ilishapata uhuru kitambo sana, harakai za wayahudi ziliaanza miaka ya 1990's mwanzon ambapo gadafi na id amini hawakua wamezaliwa
Kwanini Wanaharakati wote walioleta Uhuru barani Afrika WALIKATAA kuitambua Israel hata Mwl. Nyerere?
 
unaijua hii Tofauti Kati ya WAISRAEL ( watu weusi) na WAYAUDI ( Zionists yaani wazungu na walowezi
kutoka ulaya)???

Na hii pia unajua Historia ya Zionism movement na tabia zake???

JIBU swali usilete porojo
So that means pale pale panapogombewq sio kwa wayahudi Wala wapelestina?
 
Kwani Wapelestina Ardhi yao wameuza kama sisi tulivyouza Ngorongoro na kufukuza wamasai.
Historia ina sema palestine kapokonywa ardhi kimabavu na kisha kuuwawa kikatili na hao wazayuni fakes na ulikuwa ni mpango wa wazungu kutawala Mashariki ya Kati. Unaposema tuuache kutetea Ndugu zetu Wapelestina maana yake unafurahia dhulma, mauwaji ya kikatili ya watoto uko palestine, unafurahia nyumba za watu kubomolewa, watu kuuwa na wengine kupewa kilema cha Maisha??? Unafurahia hayo??? Dunia nzima imesisima na palestine kupinga uvamizi mimi ni nani nisisimae na palestine.

Hapa Tanzania matatizo tunajitakia wenyewe

Biblia inasema unatakiwa uangalie ndani ya mipaka yako kwanza kabla ya kujali kwingine, kwanza inasema Familia kwanza ukimaliza matatizo ya familia yako ndiyo uangalie kwa jirani, sasa nyinyi nyumbani kwenu kunawaka moto lkn kutwa nzima mnashinda kujishughulisha na matatizo yaliyo Bara lingine kabisa.

Watanzagiza wana maisha ya dhiki klk hata hao wapalestina mnaowatete humu, hivyo tuanzie kwetu kwanza mengine yote ni unafiki tu …
 
So that means pale pale panapogombewq sio kwa wayahudi Wala wapelestina?
Ndio maana mnaambia msome historia. Ona sasa hata ujui Mashariki ya Kati lilikuwa linamilikiwa na nani Apo kabla ya huu mgogoro mnao ushabikia
 
Rais/mfalme wa kipindi hiki wa palestina alikua anaitwa nani
Picha uletewe pia mfalme ama raisi utajiwe. Hivi KWA akili yako unavyoona hayo majengo, airport, madarasa, misikitini, yalijengwa bila kuwepo Kiongozi wa eneo hilo. Changamsha ubongo wako sio kila kitu utafutiwe
 
Back
Top Bottom