Hamna taifa litaloweza kuing’oa Israel Mashariki ya Kati maana hapo ndipo nyumbani!

Adolf Hitler3

JF-Expert Member
Oct 26, 2023
228
127
HISTORIA YA ISRAEL
Ukiongelea Taifa la Israel lazima ufafanue unaongelea Israel ya zamani au Israel ya sasa.
ISRAEL
1.Modern Israel (Israel ya sasa)
2.Ancient Israel (Israel ya Zamani)
Kujua chanzo cha mgogoro wa Israel na Palestina ni vema mtu akawa na uelewa wa historia zote mbili.
Na ikumbukwe kua historia ya Israel ya zamani ni kubwa kuliko taifa lolote lile duniani kwani yenyewe inaanza hata kabla ya miaka 2000 ya kuja kwa masiah ( Hapa kwa dini tofauti lazima tuelewe historia au kuhesabu miaka kulianza no 1 baada ya kuja kwa masiah ndio maana tupo mwaka 2023. Lakini si kwamba tangu dunia kuumbwa ni miaka 2000 tu la hasha.

1.ISRAEL YA SASA (Modern Israel)
Israel ya sasa haina historia kubwa sana kwani imeanza miaka ya 47 ambapo mwaka 48 may ndio iliundwa
MGAWANYO WA UN
UN waliligawa eneo la palestine mandate au British palestine kati ya waarabu na Waisrael 1947

ISRAEL YA ZAMANI
Hii ilikuepo kabla hata kuja kwa masiah yaan hata kabla hatujaanza kuhesabu mwaka wa 1. Kifupi hata kabla ya miaka hii tulio nayo “2000”


Taifa la Israel Limepitia matatizo mengi hata kabla ya kuja kwa masia /Nabii issa. Limepigana vita nyingi ikiwa ni pamoja na Wafilisti na kuwashinda mara kadhaa.

Wafilisti lilikua taifa la watu wa kale ambao leo n wairaq na wasyria.

Kwanini Hamna atakae ling’oa taifa la israel?

Miaka ya leo linapigana na Waarabu napenda kutumia waarabu kwa sababu taifa la Palestina halijawai kuwepo had mwaka 1988 (ukibisha lete ushahidi). Taifa hili limeanza kupigwa vita na kutekwa mara kadhaa lakini kila mara wamekua wakirudi kwene hii Ardhi yao pendwa.

Utasikia mpumbavu mmoja akisema Ni wazungu wametoka ulaya kwenda kuanzisha nchi pale?? Je we ungekua mzungu ungekubali kwenda kufia jangwani pale kwene waarabu wenye visilani uache kukaa miji mizuri kama Venice, Paris na UK.

Ukweli ni kwamba waisrael wapo tayari kufia pale kwasababu hawana sehemu nyingine kila nchi wamekua wakibaguliwa na kuuliwa. Lakini Waarabu wamevamia ardhi yao.



NB: TAFADHARI USIWEKE LINK YYTE KWENE HUU UZI
 

Attachments

  • 22169955-D938-4EBD-B01E-5A628EBDA2A9.jpeg
    22169955-D938-4EBD-B01E-5A628EBDA2A9.jpeg
    139.1 KB · Views: 11
Hayo mataifa mengine yaliyo kinyume na israel ni kama mbwa koko tu anayembwekea chatu huku mkia ameukunja kwa hofu ya kukamatwa na kumezwa.

Misri iliona isiwe taabu ikatiliana saini mkataba wa amani na israel wa camp david.

Kuna taifa moja linajifanya kiherehere kutaka kuifuta israel katika ramani ya dunia. Kutwa nzima kuandamana na kuimba down israel, down USA huku wakichoma bendera ya israel na USA.
 
Kutoka vilindi vya moyo wangu naipenda Israel taifa tukufu, takatifu na teule. Mungu wa kweli awaongoze awatangulie na awalinde katika zoezi Lao (Just and sacred course) la kuleta amani Gaza, mashariki ya kati na dunia kwa ujumla.
Hakutakuwa na amani mpaka aje Masihi.

Na pale Tell Aviv headquarter ya mashoga duniani basi utamu ndipo unaponoga. Yetu macho.
 
Hayo mataifa mengine yaliyo kinyume na israel ni kama mbwa koko tu anayembwekea chatu huku mkia ameukunja kwa hofu ya kukamatwa na kumezwa. Misri iliona isiwe taabu ikatiliana saini mkataba wa amani na israel wa camp david. Kuna taifa moja linajifanya kiherehere kutaka kuifuta israel katika ramani ya dunia. Kutwa nzima kuandamana na kuimba down israel, down USA huku wakichoma bendera ya israel na USA.
Ukute hata hao Israel ukristo hawaujui,mimbumbu yetu inashabikia huku
 
Taifa la Israel Limepitia matatizo mengi hata kabla ya kuja kwa masia /Nabii iSsa.
Limepigana vita nyingi ikiwa ni pamoja na Wafilisti na kuwashinda mara kadhaa.

Wafilisti lilikua taifa la watu wa kale ambao leo n wairaq na wasyria.

Kwanini Hamna atakae ling’oa taifa la israel…?

Miaka ya leo linapigana na Waarabu napenda kutumia waarabu kwa sababu taifa la palestina halijawai kuwepo had mwaka 1988 (ukibisha lete ushahidi). Taifa hili limeanza kupigwa vita na kutekwa mara kadhaa lakini kila mara wamekua wakirudi kwene hii Ardhi yao pendwa.

Utasikia mpumbavu mmoja akisema Ni wazungu wametoka ulaya kwenda kuanzisha nchi pale?? Je we ungekua mzungu ungekubali kwenda kufia jangwani pale kwene waarabu wenye visilani uache kukaa miji mizuri kama venice, paris na UK!!…
Ukweli ni kwamba waisrael wapo tayari kufia pale kwasababu hawana sehemu nyingine kila nchi wamekua wakibaguliwa na kuuliwa.Lakin waarabu wamevamia ardhi yao !
Takbirrrr
 
Hivi Adolf alikosewa Nini Hadi akataka kuwamaliza kabisa hao wayahudi?
Walienda kufanya Nini hapo Germany?

Waarabu walikua wamevamia nchi yao hivo wakatapakaa mataifa mbali mbali ya ulaya ikiwepo Ujerumani.
Hitler aliwachukia kwasababu walikua hawataki kuchangamana na wajerumani wengine, kuoana na wasio wayahudi, kufuata dini ya isiyo ya kiyahudi! hivo aliplan kuwafukuza ujerumanj

lakin mwaka 1941 alikutana na Ali haj hussen mtawala wa mashariki ya kati uarabuni ndye alilazmisha awaue maana angewafukuza wangerudi hapo mashariki ya kati kwene ardhi yao na kuanza kupambana na waarabu
 
Wote hao wa urabuni na kwengineko Tell Aviv ndio safe haven Yao , yaani kama wanafanya Kwa kificho basi kule ni hadharani na sehemu ya wakimbizi mashosti duniani.

Sasa wewe unaumia nini!! wao wameamua kufuata haki za binadamu kuto wanyonga kama huko kwenu saudia na iran!!

tangu walivoanza kunyonga ndo wameisha??
 
Back
Top Bottom