MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 2,731
- 6,609
- Thread starter
- #21
Zipo mkuu, pitia mkeka vizuriSmart watch sijaona bei zake
Zipo mkuu, pitia mkeka vizuriSmart watch sijaona bei zake
Tunafanya Top Up Mkuu, karibuTop up inaruhusiwa?, mfano una toleo la chini unataka toleo la juu yake?
Kwa sasa ilo toleo hatuna, ipo 13CRedmi note 12 bei tafadhari
Kwa sasa hatuna iliibiwa,instagram unatumia account gan mkuu
matoleo ya kuanzia Sense 5 na kuendelea yote ni 5G. Ambazo sio 5G ni Sense 3 Basic kurudi chini.Umetulia, maelezo yanajitosheleza.
Ngoja mwajuma ndala ndefu akinifinyia kwa ndani nitakuja mgombolea aquos zero 6, hakuna ambayo haina 5g ili bei ipoe poe kidogo 😂.
Kuhonga laki 3 kwa goli la tako 3 inahitaji moyo 😂
Kila tako 1 ni laki 😂
Nina Galaxy A14, 4GB RAM , 128GB storage. Bado mpya kabisa ina miezi minne tangu niinunue.Top up & Xchange ni kwa Simu nzima tu tajiri, Karibu
Njoo nayo dukani TajiriTajiri, nina galaxy S21 5G ultra 128 imeCrack kioo kidogo sana kwa juu. Je, ninaweza kuileta hii nika Top up kwa kiasi gani nichukue Galaxy s21 5G ingine?
Discount ipo mkuu, karibuHizo ndio bei nafuu? 3.2m?
Sawa mkuu, subiri anifinyie kwa ndani, nitakuja kukuunga mkono mzee.matoleo ya kuanzia Sense 5 na kuendelea yote ni 5G. Ambazo sio 5G ni Sense 3 Basic kurudi chini.
Njoo Dukani ntakufanyia 270,000/= mkuu, Karibu
BeiKwa sasa ilo toleo hatuna, ipo 13C
😅😅😅😅Umetulia, maelezo yanajitosheleza.
Ngoja mwajuma ndala ndefu akinifinyia kwa ndani nitakuja mgombolea aquos zero 6, hakuna ambayo haina 5g ili bei ipoe poe kidogo 😂.
Kuhonga laki 3 kwa goli la tako 3 inahitaji moyo 😂
Kila tako 1 ni laki 😂
Used tajiri, box ni 20kS21 utra ni mpya kwenye box lake au
Box ni 20k kivp? Boksi tupu bila simu auUsed tajiri, box ni 20k
😂😂😂Mkuu kata kucha.